Wazazi kuna hizi shule za English Medium ni majina tu ila ni takataka. Lakini bado zipo!

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
12,112
Reaction score
15,060
Embu fikiria mtoto wako wa std six hajui Mkoa gani huanza kabla ya kufika Dar...!?? Geography.

Au hajui Verb forms za Verb 'be'.. English.

Wazee..! Kuna ujinga na tunapigwa. Nilitaka wasafirisha wanangu waende holidays ila nimekuta weupe. Naingia nao Class. I'm a teacher...

Walimu Wao ntakutana nao January.
 
English medium ya mwao ada bei gani? Just a random question.
 
Embu fikiria mtoto wako wa std six hajui Mkoa gani huanza kabla ya kufika Dar...!?? Geography.

Au hajui Verb forms za Verb 'be'.. English.

Wazee..! Kuna ujinga na tunapigwa. Nilitaka wasafirisha wanangu waende holidays ila nimekuta weupe. Naingia nao Class. I'm a teacher...

Walimu Wao ntakutana nao January.
Shida ni ya Wanao.

Shughulika na tatizo lako.
 
Embu fikiria mtoto wako wa std six hajui Mkoa gani huanza kabla ya kufika Dar...!?? Geography.

Au hajui Verb forms za Verb 'be'.. English.

Wazee..! Kuna ujinga na tunapigwa. Nilitaka wasafirisha wanangu waende holidays ila nimekuta weupe. Naingia nao Class. I'm a teacher...

Walimu Wao ntakutana nao January.
Mkuu
Kuna kipindi EATV kinaitwa skonga
Kuna segment ya kuuliza maswali
Ukisikiliza majibu ya watoto wale kama wewe ni mwalimu unaweza chapa shule nzima watoto ni weupee
Yaani hamna kitu

Achana na hao nenda chuo kikuu ndio utachoka

Kuna wanafunzi wa UDSM wanaosoma maswala ya siasa
Waliulizwa swali hili

"Barabara ya mwenge kwenda ubungo inaitwa Sam Nujoma Road, je huyu Sam Nujoma ni nani?

Hakuna mwanafunzi alipata hili swali
Nilisikitika sana, kuona mwanafunzi wa UDSM anasoma Mambo ya siasa afu hajui swali dogo kama hilo
 
Kile kipindi sina shida ncho. Wanaenda shule za kata..

Ishu ni hizi ambazo tunalipa Milioni alafu watoto weupe.. huu ni upumbavu.
 
Wajibu wa Mwalimu ni kumfundisha Mwanafunzi, Wajibu wa mwanafunzi ni kuelewa alichofundishwa na Mwalimu.

SHIDA INAWEZA KUWA KWA MWALIMU, AU KWA MWANAFUNZI.

DON'T JUDGE MKUU
 
Basi hilo nakusamehe....

Haya wewe teacher wa English... Nipe forms za Verb 'be' ..

Wapumbavu nyinyi mnakula hela zetu kichwani weupe.. failures..
Badilisha namna ya kupima uwezo wa watoto wako...
Hii likizo wafundishe stadi tofauti za maisha...acha kuwachosha
Jinsi ya kutengeneza funza kwa kutumia kinyesi cha ng'ombe
Jinsi ya kupanda mbogamboga kwenye magunia
Jinsi ya kutengeneza kiti cha mbao
N.k n.k..
 
Back
Top Bottom