Wazazi kuna hizi shule za English Medium ni majina tu ila ni takataka. Lakini bado zipo!

Badilisha namna ya kupima uwezo wa watoto wako...
Hii likizo wafundishe stadi tofauti za maisha...acha kuwachosha
Jinsi ya kutengeneza funza kwa kutumia kinyesi cha ng'ombe
Jinsi ya kupanda mbogamboga kwenye magunia
Jinsi ya kutengeneza kiti cha mbao
N.k n.k..
Nataka majibu ya hayo maswalii.. mbona mnatudai hela sana nyinyii...
 
Embu fikiria mtoto wako wa std six hajui Mkoa gani huanza kabla ya kufika Dar...!?? Geography.

Au hajui Verb forms za Verb 'be'.. English.

Wazee..! Kuna ujinga na tunapigwa. Nilitaka wasafirisha wanangu waende holidays ila nimekuta weupe. Naingia nao Class. I'm a teacher...

Walimu Wao ntakutana nao January.
Mkuu ww ndio huna akili kabisa pole sana....... simlaumu mtoto wa std 6 kutojua mambo, ww unafuatilia kwa karibu maendeleo ya mtoto? Kwakua mfuatiliaji mapema tu anatambua hii shule sio nimuhamishe mwanangu. Kwani kaanza std 6 au kapita stage by stage?

Labda kama umeamua kutoona faida ya EM zetu hizi ila mtoto anaanza na wewe......
 
Unguja.
Embu fikiria mtoto wako wa std six hajui Mkoa gani huanza kabla ya kufika Dar...!?? Geography.

Au hajui Verb forms za Verb 'be'.. English.

Wazee..! Kuna ujinga na tunapigwa. Nilitaka wasafirisha wanangu waende holidays ila nimekuta weupe. Naingia nao Class. I'm a teacher...

Walimu Wao ntakutana nao January.
.
 
Nyumbani una makitaba?
Atlas ipo?
Huwa unakagua kazi zake za nyumbani?
Huwa unafuatilia maendeleo yake ya kitaaluma shuleni?
Embu fikiria mtoto wako wa std six hajui Mkoa gani huanza kabla ya kufika Dar...!?? Geography.

Au hajui Verb forms za Verb 'be'.. English.

Wazee..! Kuna ujinga na tunapigwa. Nilitaka wasafirisha wanangu waende holidays ila nimekuta weupe. Naingia nao Class. I'm a teacher...

Walimu Wao ntakutana nao January.
 
Nataka majibu ya hayo maswalii.. mbona mnatudai hela sana nyinyii...
Mkuu hii likizo wafundishe namna ya kukabiliana na changamoto ndogondogo za maisha...
Nimekupa mfano hapo lakini naona kama unataka kubishana tu...
Je, shuleni matokeo ya wanao yakoje?
Je, tukiwaleta wanafunzi wote watashindwa maswali hayo?
Wewe mwenyewe ulikuaje?
An apple doesn't fall far from its tree
 
B
Alafu wewe MwAlimu unafanya kazi gani...
Kama tunagawana majukumu ya kazi mbona ukichukua mshahara hungawii!??
Una akili!??
Basi,mwanao haingii darasani na mimi kazi yangu ni kumfundisha mtoto aliyeko darasani.
Kuwa mpole mimi niendelee kula mshahara huku mwana na wewe kwa pamoja mkivuna mlicho panda.
 
Embu fikiria mtoto wako wa std six hajui Mkoa gani huanza kabla ya kufika Dar...!?? Geography.

Au hajui Verb forms za Verb 'be'.. English.

Wazee..! Kuna ujinga na tunapigwa. Nilitaka wasafirisha wanangu waende holidays ila nimekuta weupe. Naingia nao Class. I'm a teacher...

Walimu Wao ntakutana nao January.
Hizo waalimu wengi ni vibwengo tupu, English zero, sasa verb to 'be' nyepesi , 'do' ma auxiliary verb (helping verbs), the simplest subject ni English, form four failure wanaajiriwa kama waalimu
 
Back
Top Bottom