English medium ya mwao ada bei gani? Just a random question.Embu fikiria mtoto wako wa std six hajui Mkoa gani huanza kabla ya kufika Dar...!?? Geography.
Au hajui Verb forms za Verb 'be'.. English.
Wazee..! Kuna ujinga na tunapigwa. Nilitaka wasafirisha wanangu waende holidays ila nimekuta weupe. Naingia nao Class. I'm a teacher...
Walimu Wao ntakutana nao January.
Shida ni ya Wanao.Embu fikiria mtoto wako wa std six hajui Mkoa gani huanza kabla ya kufika Dar...!?? Geography.
Au hajui Verb forms za Verb 'be'.. English.
Wazee..! Kuna ujinga na tunapigwa. Nilitaka wasafirisha wanangu waende holidays ila nimekuta weupe. Naingia nao Class. I'm a teacher...
Walimu Wao ntakutana nao January.
Basi hilo nakusamehe....Tatizo ni wanao na wewe mwenyewe...
Sasa hilo swali lako hata mimi sijui..
Mkoa kabla ya Dar..
Kutokea wap?
Kwa kutumia usafiri gani?
MkuuEmbu fikiria mtoto wako wa std six hajui Mkoa gani huanza kabla ya kufika Dar...!?? Geography.
Au hajui Verb forms za Verb 'be'.. English.
Wazee..! Kuna ujinga na tunapigwa. Nilitaka wasafirisha wanangu waende holidays ila nimekuta weupe. Naingia nao Class. I'm a teacher...
Walimu Wao ntakutana nao January.
Kile kipindi sina shida ncho. Wanaenda shule za kata..Mkuu
Kuna kipindi EATV kinaitwa skonga
Kuna segment ya kuuliza maswali
Ukisikiliza majibu ya watoto wale kama wewe ni mwalimu unaweza chapa shule nzima watoto ni weupee
Yaani hamna kitu
Achana na hao nenda chuo kikuu ndio utachoka
Kuna wanafunzi wa UDSM wanaosoma maswala ya siasa
Waliulizwa swali hili
"Barabara ya mwenge kwenda ubungo inaitwa Sam Nujoma Road, je huyu Sam Nujoma ni nani?
Hakuna mwanafunzi alipata hili swali
Nilisikitika sana, kuona mwanafunzi wa UDSM anasoma Mambo ya siasa afu hajui swali dogo kama hilo
Mkuuu shule za kata isiwe sababuKile kipindi sina shida ncho. Wanaenda shule za kata..
Ishu ni hizi ambazo tunalipa Milioni alafu watoto weupe.. huu ni upumbavu.
Kigezo ni nini?Shule haijawahi kuwa kigezo cha mtu kufeli au kufaulu
Badilisha namna ya kupima uwezo wa watoto wako...Basi hilo nakusamehe....
Haya wewe teacher wa English... Nipe forms za Verb 'be' ..
Wapumbavu nyinyi mnakula hela zetu kichwani weupe.. failures..