Wazazi kuna hizi shule za English Medium ni majina tu ila ni takataka. Lakini bado zipo!

Nataka majibu ya hayo maswalii.. mbona mnatudai hela sana nyinyii...
 
Mkuu ww ndio huna akili kabisa pole sana....... simlaumu mtoto wa std 6 kutojua mambo, ww unafuatilia kwa karibu maendeleo ya mtoto? Kwakua mfuatiliaji mapema tu anatambua hii shule sio nimuhamishe mwanangu. Kwani kaanza std 6 au kapita stage by stage?

Labda kama umeamua kutoona faida ya EM zetu hizi ila mtoto anaanza na wewe......
 
Unguja.
.
 
Nyumbani una makitaba?
Atlas ipo?
Huwa unakagua kazi zake za nyumbani?
Huwa unafuatilia maendeleo yake ya kitaaluma shuleni?
 
Nataka majibu ya hayo maswalii.. mbona mnatudai hela sana nyinyii...
Mkuu hii likizo wafundishe namna ya kukabiliana na changamoto ndogondogo za maisha...
Nimekupa mfano hapo lakini naona kama unataka kubishana tu...
Je, shuleni matokeo ya wanao yakoje?
Je, tukiwaleta wanafunzi wote watashindwa maswali hayo?
Wewe mwenyewe ulikuaje?
An apple doesn't fall far from its tree
 
B
Alafu wewe MwAlimu unafanya kazi gani...
Kama tunagawana majukumu ya kazi mbona ukichukua mshahara hungawii!??
Una akili!??
Basi,mwanao haingii darasani na mimi kazi yangu ni kumfundisha mtoto aliyeko darasani.
Kuwa mpole mimi niendelee kula mshahara huku mwana na wewe kwa pamoja mkivuna mlicho panda.
 
Hizo waalimu wengi ni vibwengo tupu, English zero, sasa verb to 'be' nyepesi , 'do' ma auxiliary verb (helping verbs), the simplest subject ni English, form four failure wanaajiriwa kama waalimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…