Wazazi kuweni makini na watoto wenu hasa wa kiume

Mkuu fuatilia sehemu zozote zinazotisha kwa wizi na ukabaji, wahusika huwa wanajulikana na hawafanywi kitu
Sababu wakaazi wanawalea, zaidi ni ile mtoto wa fulani nitaonekana mbaya.

Pili hata wenyeji unufaika na uhalifu.
 
Inasikitisha sana kuona wazazi wanazaa tu kisha kuacha watoto wajilee wenyewe.

Dunia ya sasa imeharibika, hii imetokea juzi nikiwa nimelala zangu mchana majira ya saa saba, nikiwa kwenye usingizi mzito nasikia sauti ya mtoto mdogo akilalama aachiwe.

Sikutilia manani nikahisi huenda labda naota bahati nzuri wife alikuwa macho akaniamsha baba kuna mtoto hapa anafanyiwa kitu kibaya, ikanibidi niamke kweli nikasikia sauti ya mtoto mdogo wa kiume umri wake miaka minne akilalama.

Nikafungua pazia taratibu nakulikuta njemba likiwa limembania mtoto ukutani huku likiwa limemvua nguo, nikitoka kwa jazba kisha nikawajulisha majirani wengine wanusaidie tumkamate ni ajabu wamebaki tu wananishangaa.

Nikazunguka mwenyewe nyuma ya nyumba lile njemba lilipo niona likakurupuka na kumuachia mtoto kisha tukaanza kukimbiza huku nikiita mwizi, kwa kweli sikupata sapoti yeyote kutoka kwa raia wananitizana tu inaonekana huyu kijana anatoka mazingira yale wanamfahamu hivyo wameamua kumlinda.

Sikufanikiwa kumkamata hii kitu imeniuma sana, nilipeleka taarifa kwa wazazi wa mtoto wamejaribu kumuangali wanadai hakufanikiwa kumfanya chochote, nimewaachia wao hii kesi waifuatilie huyu kijana pale mtaani anafahamika.
Ukimuweka wazi huyu jamaa nitafanya kila njia nimpoteze.

Yani utakuja tu kusikia mazishi. Fanya kunipa details PM nimalize hayawani mmoja kwenye jamii!
 
Inasikitisha sana kuona wazazi wanazaa tu kisha kuacha watoto wajilee wenyewe.

Dunia ya sasa imeharibika, hii imetokea juzi nikiwa nimelala zangu mchana majira ya saa saba, nikiwa kwenye usingizi mzito nasikia sauti ya mtoto mdogo akilalama aachiwe.

Sikutilia manani nikahisi huenda labda naota bahati nzuri wife alikuwa macho akaniamsha baba kuna mtoto hapa anafanyiwa kitu kibaya, ikanibidi niamke kweli nikasikia sauti ya mtoto mdogo wa kiume umri wake miaka minne akilalama.

Nikafungua pazia taratibu nakulikuta njemba likiwa limembania mtoto ukutani huku likiwa limemvua nguo, nikitoka kwa jazba kisha nikawajulisha majirani wengine wanusaidie tumkamate ni ajabu wamebaki tu wananishangaa.

Nikazunguka mwenyewe nyuma ya nyumba lile njemba lilipo niona likakurupuka na kumuachia mtoto kisha tukaanza kukimbiza huku nikiita mwizi, kwa kweli sikupata sapoti yeyote kutoka kwa raia wananitizana tu inaonekana huyu kijana anatoka mazingira yale wanamfahamu hivyo wameamua kumlinda.

Sikufanikiwa kumkamata hii kitu imeniuma sana, nilipeleka taarifa kwa wazazi wa mtoto wamejaribu kumuangali wanadai hakufanikiwa kumfanya chochote, nimewaachia wao hii kesi waifuatilie huyu kijana pale mtaani anafahamika.
Siku nyingine ukibahatika kumuona mtu wa aina hiyo ni kumuua tu halafu mnachoma moto. unasema mwizi huyu.

Dawa ya watu wanao wadhalalisha watoto kwa kuwanajisi na kuwabaka ni kuwaua tu hakuna jingine hao ni wauaji hakuna adhabu nyingine zaidi ya kuwaua.
 
Hii dunia sasa mpaka naiogopa mimi
 
Kuna siku nilikua nipo mitaa flan nkakuta njemba imekamatwa nyuma ya shule (day care) akifanya uo uasi......

Niliratibu shughuli ya kuvunja jino kwa kupiga ngumi sehem moja mara 4....

Dar huko eti?
 
Sasa hivi hali ni mbaya sana kwa watoto wetu wa kiume,sasa hivi watoto wa kiume wapo hatarini zaidi ya watoto wa kike,mzazi usipokuwa makini utalea shoga.
IMG-20220408-WA0216.jpg
 
Back
Top Bottom