Wazazi kuweni makini na watoto wenu hasa wa kiume

Wazazi kuweni makini na watoto wenu hasa wa kiume

Wekeni ma house gel inasaidia sana
Kwan housegirl atamlinda huyo mtoto had nje ya mazingira ya nyumbani? Ama ulimaanisha nn?

Alaf swala la ulawiti ni tatizo la kiakili kuna mtu anaacha mke wake ndan anaenda kubaka vitoto mtaani
 
Inasikitisha sana, aliwe timing alafu apigwa kiberiti...
 
Back
Top Bottom