Wazazi kuweni makini na watoto wenu kuangalia muvi zenye superheroes Content

Wazazi kuweni makini na watoto wenu kuangalia muvi zenye superheroes Content

Piga picha WWE wakafanya huo ushenzi, aiseee kiukweli watoto wa afrika wengi watakamatika kirahis sana.
John Cena aka date na Roman Reign [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] au van damme adate na rambo
 
Kwani lazimaa waangalie movie za huko nje? Si wawe buzzy na tamthilia za hapa Bongo, huba,kapuni etc.

Mnapenda kukuza mambo akat hata hana la kufanya.lol
 
Nashukuru Mimi mwanangu yupo busy na wakina majuto rip mzee wetu..... Anapenda wachekeshaji Hawa local .... Na wakiongea broken English Basi meno yote nje Mara nyingi akivuka boda namkuta na Tom na Jerry Hawa hata Mimi sichoki kutazama.

Japo kua anaonekana mshamba kwa wenzie lkn anakuja kuwafunika na Skeeters boot pamoja na bord hivyo ndio vinamfanya aonekane mjanja
 
ndio mimi napenda muvi za mapigano sio unaangalia muvi dume kazi kulilia mapenzi tu
Hizi ndio za kumpa mwanao angalie kwanza zipo kihalisia tofauti na hizo za super hero na pia inafanya dogo akae kiume zaidi sio unampa mwanao muvi kama kulfihalafu unategemea hawe na tabia za kiume

View attachment 2006363

View attachment 2006364

View attachment 2006365

View attachment 2006366

View attachment 2006367

View attachment 2006368

View attachment 2006369

View attachment 2006370

View attachment 2006371
Ata huku wapo pia. Zipo movie za action zina ayo mambo na kama bado jua wanakuja maana nia yao ni kuyaintroduce kwenye kila sector ya burudani
 
Ata huku wapo pia. Zipo movie za action zina ayo mambo na kama bado jua wanakuja maana nia yao ni kuyaintroduce kwenye kila sector ya burudani
Kwasasa haya mambo hayakwepeki kikubwa ni kuchukua tahadhari na kuwachunga watoti juu ya wanachosikia na kutazama. Kusikia tayari bongofleva ishatuaharibia watoto bado bongo movie sasa
 
Kwasasa haya mambo hayakwepeki kikubwa ni kuchukua tahadhari na kuwachunga watoti juu ya wanachosikia na kutazama. Kusikia tayari bongofleva ishatuaharibia watoto bado bongo movie sasa
Kipindi hiki malezi yamekuwa changamoto kweli. Ukimbana kwenye tv na vijarida bado mtaan wanapishana na mabwabwa yan Mungu atusimamie kiukwel
 
Jumapili nilikua beach.akapita jamaa kavaa tishet Ina alama ile ya rainbow.
Nikijiuliza huyu anajua maana ya ile alama.
Ghafla akapita mtoto na mama yake yule mtoto nae kavalishwa tishet Ina alama ya rainbow.
Ile alama NI alama ya kawaida ambayo inatumika Hadi mashuleni.
Wazungu wajanja sanaa.unaweza kuwasapoti harakati zao bila hata kujua.hyo alama ya rainbow NI mtego
Manake ni nini mkuu?
 
ndio mimi napenda muvi za mapigano sio unaangalia muvi dume kazi kulilia mapenzi tu
Hizi ndio za kumpa mwanao angalie kwanza zipo kihalisia tofauti na hizo za super hero na pia inafanya dogo akae kiume zaidi sio unampa mwanao muvi kama kulfihalafu unategemea hawe na tabia za kiume

View attachment 2006363

View attachment 2006364

View attachment 2006365

View attachment 2006366

View attachment 2006367

View attachment 2006368

View attachment 2006369

View attachment 2006370

View attachment 2006371
Dah! Hiyo movie ya juu ni hatari, ila haujaweka ile picha ya jamaa alipiga teke akakutanisha kwenye goti la mshikaji, mguu ukavunjika vipande viwili!
 
Hiyo sio kwa watoto tu hata kwa watu wazima kama ukiwa attached sana na hizo series hata wewe utakuja kuyaona hayo mambo ni ya kawaida. Hivi vitu usiviruhusu vikakuingia sana kwa mfano ile squid game kwa jinsi ilivyozoa wafatiliaji nakuhakikishia ikija kutoka season 2 lazima ukute wameingiza hayo mambo ya ushoga.
 
Dunia iko speed saaaana...

Kuna vitu vinaendelea na watu wana engineer mipango...

Ni swala la muda tu
 
Walianza 2019 kwenye Avengers Endgame japo haikua wazi. Yaani wapuuzi sana hawa watu, kuweni makini
Mimi nisiekuwa mpenzi wa movie ndio napata tabu sijui hata itakuwaje...
Cartoon za Disney Junior zina hayo mambo? Na kuna zile power rangers....???
 
Mimi nisiekuwa mpenzi wa movie ndio napata tabu sijui hata itakuwaje...
Cartoon za Disney Junior zina hayo mambo? Na kuna zile power rangers....???
Basi ngoja nikupe mwanga kidogo.
Kuna katuni na animation
Katuni zinazoonyeshwa kwenye Chanel za watoto kaa vile Disney Junior, Cartoon Network, Da Vinci learning, KidCo, Nickelodeon, hizi mara nyingi hua zimewalenga Watoto 2-10. Kwakweli sijawahi kuzitilia mashaka hizi cartoon na hizo Chanel nilizotaja hapo juu nimezitazama sana. Sijui kwa sasa mambo yamekuaje.. ila naona kuna PJ mask disney junior sio mbaya.

Sasa kuna hizi animation mara nyingi tunaziita Adult swim mfano wake ni kama zinazotengenezwa na studio kubwa za muvi kama vile Warner Bros animation, Dreamworks,Pixar,Bluesky, Disney, nk hizo ni zawatu wakubwa kuanzia 13. Kwa huku afrika miaka 13 bado Mtoto mdogo

Sasa kuna hizi animation hua zinawekwe kwenye streaming chanel kama vile Amazon, Netflix, Disney+, Etc hiz ndio mabaya kabisa mfano kuna Cartoon inaitwa The Invincible imetoka mwaka huu ni ya superhero ila ina umwagaji wa damu na ushoga humo.
 
Back
Top Bottom