[emoji23][emoji23][emoji23] au van damme adate na ramboPiga picha WWE wakafanya huo ushenzi, aiseee kiukweli watoto wa afrika wengi watakamatika kirahis sana.
John Cena aka date na Roman Reign [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Ata huku wapo pia. Zipo movie za action zina ayo mambo na kama bado jua wanakuja maana nia yao ni kuyaintroduce kwenye kila sector ya burudanindio mimi napenda muvi za mapigano sio unaangalia muvi dume kazi kulilia mapenzi tu
Hizi ndio za kumpa mwanao angalie kwanza zipo kihalisia tofauti na hizo za super hero na pia inafanya dogo akae kiume zaidi sio unampa mwanao muvi kama kulfihalafu unategemea hawe na tabia za kiume
View attachment 2006363
View attachment 2006364
View attachment 2006365
View attachment 2006366
View attachment 2006367
View attachment 2006368
View attachment 2006369
View attachment 2006370
View attachment 2006371
Kwasasa haya mambo hayakwepeki kikubwa ni kuchukua tahadhari na kuwachunga watoti juu ya wanachosikia na kutazama. Kusikia tayari bongofleva ishatuaharibia watoto bado bongo movie sasaAta huku wapo pia. Zipo movie za action zina ayo mambo na kama bado jua wanakuja maana nia yao ni kuyaintroduce kwenye kila sector ya burudani
Kipindi hiki malezi yamekuwa changamoto kweli. Ukimbana kwenye tv na vijarida bado mtaan wanapishana na mabwabwa yan Mungu atusimamie kiukwelKwasasa haya mambo hayakwepeki kikubwa ni kuchukua tahadhari na kuwachunga watoti juu ya wanachosikia na kutazama. Kusikia tayari bongofleva ishatuaharibia watoto bado bongo movie sasa
Imagine mwanao anakua shabiki wa mtu anayeimba huu upupu (kulia)
View attachment 2006047
Manake ni nini mkuu?Jumapili nilikua beach.akapita jamaa kavaa tishet Ina alama ile ya rainbow.
Nikijiuliza huyu anajua maana ya ile alama.
Ghafla akapita mtoto na mama yake yule mtoto nae kavalishwa tishet Ina alama ya rainbow.
Ile alama NI alama ya kawaida ambayo inatumika Hadi mashuleni.
Wazungu wajanja sanaa.unaweza kuwasapoti harakati zao bila hata kujua.hyo alama ya rainbow NI mtego
Dah! Hiyo movie ya juu ni hatari, ila haujaweka ile picha ya jamaa alipiga teke akakutanisha kwenye goti la mshikaji, mguu ukavunjika vipande viwili!ndio mimi napenda muvi za mapigano sio unaangalia muvi dume kazi kulilia mapenzi tu
Hizi ndio za kumpa mwanao angalie kwanza zipo kihalisia tofauti na hizo za super hero na pia inafanya dogo akae kiume zaidi sio unampa mwanao muvi kama kulfihalafu unategemea hawe na tabia za kiume
View attachment 2006363
View attachment 2006364
View attachment 2006365
View attachment 2006366
View attachment 2006367
View attachment 2006368
View attachment 2006369
View attachment 2006370
View attachment 2006371
Zile rangi za upinde wa mvua.ni alama zao wenye chama cha mashoga na wasagaji dunianiManake ni nini mkuu?
Na wewe fun wa movi za mapigano😀😀Dah! Hiyo movie ya juu ni hatari, ila haujaweka ile picha ya jamaa alipiga teke akakutanisha kwenye goti la mshikaji, mguu ukavunjika vipande viwili!
Mimi nisiekuwa mpenzi wa movie ndio napata tabu sijui hata itakuwaje...Walianza 2019 kwenye Avengers Endgame japo haikua wazi. Yaani wapuuzi sana hawa watu, kuweni makini
Disney junior hamna haya mambo hizi cartoon za kikubwa ndo nomaMimi nisiekuwa mpenzi wa movie ndio napata tabu sijui hata itakuwaje...
Cartoon za Disney Junior zina hayo mambo? Na kuna zile power rangers....???
Basi ngoja nikupe mwanga kidogo.Mimi nisiekuwa mpenzi wa movie ndio napata tabu sijui hata itakuwaje...
Cartoon za Disney Junior zina hayo mambo? Na kuna zile power rangers....???