Wazazi kuweni makini na watoto wenu kuangalia muvi zenye superheroes Content

Ahsante sana, nimekuelewa vema....
 
Haya ma movies huwa siya angalii kabisa! Tena kwenye DSTV kuna channels baadhi maupuuzi haya yapo wazi mno.

Nawapenda sana Azam kwenye movies za maadili hili dstv soon likae kwa droo tu, ni kufunga Azam.
 
Eti dogo angalie animation za
Ricky and Morty
Final space
Za adult swim

Au Castlevania unategemea nini

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
She hulk

Captain Carter wa what if

Goddes of thunder

Silvie

Ironheart

Ms marvel

Captain marvel

I swear marvel wakiendelea na hii female superhero bullshit naachana nao




By the way Eternal imekuwa nzuri kwa upande wangu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Yaani hawa watu wana ajenda zao za siri ndio maana mm imebidi nipunguze ushabiki wa hizi muvi. Yaani karibia character wote wa kiume wanatolewa wanawekwa wakike
Btw ms Marvel hamreplace captain marvel maana ni character tofauti sema Ms marvel role model wake ni Cap. Marvel ndipo alipopata nguvu. Hapo sina shida maana wote ni wakike

Eternal ni nzuri ila huu upuuzi wa LGBTQ hauvumiliki
CC.
Super Assassin
 
Wakifanikiwa zaidi ya nusu wakawa hivyo dunia itasafisha maana ni against nature.
 
Na ktk character simpendi Ni captain marvel

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mi ndio maana naangalia korea historical drama eg jumong,land of the wind....etc huwez kukuta ujinga huo...nawatoto wanazipenda..
Hata mimi ndio muvi zangu hazina ujinga zina content nzuri .
 
Kweli kabisa athari sio kwa watoto peke yao ,na hiyo season 1 bado kuna ujinga upo mfano yale masanamu ya wanawake wapo uchi matiti wazi.
 
Wazazi wenyewe siku hizi walivyokuwa busy hawana time na watoto, kazi ipo hapo wao wanaamini malezi ni kumpeleka mtoto shule nzuri na kumpa anachotaka then zigo lote la malezi na ufuatiliaji wa mtoto anabwagiwa mfanyakazi wa ndani.
 
Wazazi wenyewe siku hizi walivyokuwa busy hawana time na watoto, kazi ipo hapo wao wanaamini malezi ni kumpeleka mtoto shule nzuri na kumpa anachotaka then zigo lote la malezi na ufuatiliaji wa mtoto anabwagiwa mfanyakazi wa ndani.
Du hii ni hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…