Sitafuni maneno, chuo kama cha MATI Mtwara, ni kambi ya kupata manamba wa kufanya kazi kwenye Mikorosho, ufuta, alizeti, mpunga (kidogo), mahindi,mboga mboga za aina zote unazoweza kuzifikiria etc etc ya the so called chuo na vyuo vingine vya hivyo. .
Hakuna watoto wanachosoma cha kuwasaidia kupata maarifa ya kilimo au ufugaji kama ilivyokuwa zamani Naliendele miaka ya 70s! Vijana walikuwa wanatoka pale ni wataalamu wa Kilimo. Tulikuwa nao jeshini Rwamkoma wanaongoza kilimo cha mahindi, unaona kabisa kuwa hawa ni wataalamu.
Sikatai lazima kuwe na demonstration plots, LAKINI eti group ya watu 20 wana eka 10 za shamba la korosho, alizeti eka 130 na mengine in more or less that range. Kweli hao wanakwenda darasani kusoma au ni manamba! Kama uliwahi kuona mashamba ya Mkonge enzi hizo, ndilo linalofanyika.
Wazazi kuweni macho, matokeo ya form 4 yametoka na hivyo wazazi mtaanza kutafuta vyuo. Vyuo vya kilimo ni kambi za kupata manamba wa mashamba yao!
YANGU NIMEMALIZA, YOU TAKE IT OR NOT! I HAVE DEEP EXPERIENCE FROM THERE
Ndiyo faida ya JF kupata/kujua ambacho usingelikijua!