Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Ninashangaa analamikia kitu gani huyu?safi sana chuo cha mati mtoto akimaliza ataweza kujiajiri
Unataka watoto wawe wahuni mtaani?
Acha walime wakirudi wanafanya kwa vitendo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninashangaa analamikia kitu gani huyu?safi sana chuo cha mati mtoto akimaliza ataweza kujiajiri
Mleta uzi sijaona mantiki yako iko wapi!Sitafuni maneno, chuo kama cha MATI Mtwara, ni kambi ya kupata manamba wa kufanya kazi kwenye Mikorosho, ufuta, alizeti, mpunga (kidogo), mahindi,mboga mboga za aina zote unazoweza kuzifikiria etc etc ya the so called chuo na vyuo vingine vya hivyo. .
Hakuna watoto wanachosoma cha kuwasaidia kupata maarifa ya kilimo au ufugaji kama ilivyokuwa zamani Naliendele miaka ya 70s! Vijana walikuwa wanatoka pale ni wataalamu wa Kilimo. Tulikuwa nao jeshini Rwamkoma wanaongoza kilimo cha mahindi, unaona kabisa kuwa hawa ni wataalamu.
Sikatai lazima kuwe na demonstration plots, LAKINI eti group ya watu 20 wana eka 10 za shamba la korosho. Kweli hao wanakwenda darasani kusoma au ni manamba! Kama uliwahikuona mashamba ya Mkonge enzi hizo, ndilo linalofanyika.
Wazazi kuweni macho, matokeo ya form 4 yametoka na hivyo wazazi mtaanza kutafuta vyuo. Vyuo vya kilimo ni kambi za kupata manamba wa mashamba yao!
YANGU NIMEMALIZA, YOU TAKE IT OR NOT! I HAVE DEEP EXPERIENCE FROM THERE
Ndiyo faida ya JF kupata/kujua ambacho usingelikijua!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahAs long as kuna Trekta,planter,harvestor na Pembejeo nyingine nafikiri hakuna tatizo kijan kupata practical.Nafikiri nitapeleka kijana wangu mmoja hapo.
Katika kizazi hiki cha watoto wanao tembea na charger, hiki ndo chuo the best kwenda. Wakalime vizuri mno,Sitafuni maneno, chuo kama cha MATI Mtwara, ni kambi ya kupata manamba wa kufanya kazi kwenye Mikorosho, ufuta, alizeti, mpunga (kidogo), mahindi,mboga mboga za aina zote unazoweza kuzifikiria etc etc ya the so called chuo na vyuo vingine vya hivyo..
sasa wewe unakwenda nje ya mada! nshomile I guess you are!Katika kizazi hiki cha watoto wanao tembea na charger, hiki ndo chuo the best kwenda. Wakalime vizuri mno..