Wazazi kuweni makini sana katika kuchagua vyuo hasa vya NACTE kuwapeleka watoto wenu

safi sana chuo cha mati mtoto akimaliza ataweza kujiajiri
Ninashangaa analamikia kitu gani huyu?
Unataka watoto wawe wahuni mtaani?
Acha walime wakirudi wanafanya kwa vitendo.
 
Mleta uzi sijaona mantiki yako iko wapi!

Kama chuo kinafundisha vitendo 90% hicho ndio chuo makini kinachohitajika karne hii.

Nadharia tuwaachie shule za msingi na sekondari huko.

Afisa kilimo ujuzi utaupata shambani zaidi kuliki darasani.

Kwani we hujasikia vijana wakienda jkt ni kazi zamikono asilimia 99 kuliko kushika bunduki?

Vinginevyo mpeleke mwanao akasomee unesi ama ualimu.


Hingereni sana MATI Ntwara.
 
As long as kuna Trekta,planter,harvestor na Pembejeo nyingine nafikiri hakuna tatizo kijan kupata practical.Nafikiri nitapeleka kijana wangu mmoja hapo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Katika kizazi hiki cha watoto wanao tembea na charger, hiki ndo chuo the best kwenda. Wakalime vizuri mno,

kulima kwanza kunakufundisha ukomavu katika nyanja mbali mbali. Akitoka hapo MATI akija mtaani hato kuwa na tabia za kishoga shoga, sio mtoto anashikwa tako anacheka cheka tu hawi mkali.

Waende MATI ZOTE wakanyooshwe. Tena wote waende na jeshini, kuna MATI UYOLE pale wana bonge la shamba linaanzia Uyole mpaka Sai Nanenane stand, kudadadeki wakalime.
 
Katika kizazi hiki cha watoto wanao tembea na charger, hiki ndo chuo the best kwenda. Wakalime vizuri mno..
sasa wewe unakwenda nje ya mada! nshomile I guess you are!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…