Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini unaitwa itwa mchumba na unachekecheka? Kataa hayo majina hata kama ni utani
Yaani jamii mtoto wa kike ataheshimika Zaidi akiwa ana ndoa hatakama Hana kazi lakini hata Uwe Na kazi nzuri kiasii Gani Na cheo kikubwa kama huna ndoa hutaheshimika kwenye jamii Yan utaonekana Ni mwizi wa waume ZA watu hatakama huna io tabiaDestine ya mtoto wa kike awe na kazi au hana kazi ni kupata mme! Stability ya binti ni mme! Utake/usitake hata kama wewe baba uko vizuri lakini ukiona binti yako yupo yupo tu ni shida! Tatizo ni kupata mme sahihi vinginevyo akiangukia kwa wavuta bangi ni shida zaidi!
Mnanivunja mbavu!😂😂🤸
Waafrika bado wanaishi maisha ya ujima sana, wanawake wanawaza kuolewa zaidi kuliko kufanya maendeleo yao kwanza, mafanikio makubwa zaidi ya mwanamke ni ndoa!Mabinti wote niliograduate nao chuo na kuolewa haraka wanaishi maisha duni. Cha ajabu wote walikuwa watumishi na watu wa imani, kasoro gumegume mmoja aliolewa na mzungu kibabu ana miaka kama 65 wako Marekani kwa sasa.
Hao walioolewa hawajapata kazi hadi sasa, na maisha sio mazuri kivile ukizingatia elimu yao hawajaitumia ama kuajiriwa ama kujiajiri. Kuna ambao nina ushahidi wanajutia na mwingine nimemchangia gharama za hospitali.
Mtu kamaliza chuo hajaenda intervie yoyote, hajaajiriwa au kujiajiri. Huyo mbio kafunga ndoa. Hapo ana honeymoon, akitoka analea mume, akitoka anapewa mimba, analea mimba, anajifungua, analea kichanga. Baada ya hapo tiyari hatakiwi kukaa mbali na mtoto, hawezi tena kuwa free kwenda interview siku ya interview mtoto anaamka anaharisha.
Unakuta hamna hamna miaka miwili imekatika wapo tu hamna hatua wamefanya. Familia changa inakula hela balaa, gharama za maisha zimepanda. Mke elimu anayo ila kazi hana.
Nashauri binti ukimaliza chuo focus kwanza kuwa na chochote cha kuingiza kitu. Ajiriwa kwanza, hivi nani atakuajiri private sector ukiwa na mtoto wa miezi 6 kila siku una dharura? Alafu entry level opportunities zina mizunguko mingi huiwezi ukiwa na ndoa changa na watoto wadogo.
Kazi za serikali chache. Unless uhakikishe unayeolewa naye anaweza cover kila kitu, mna nyumba na bima na cashflow ya kueleweka.
Sikuhiz mambo yamegeuka walioolewa na waliooa wanaibiana wenyew Kwa wenyew 😂😂😂Yaani jamii mtoto wa kike ataheshimika Zaidi akiwa ana ndoa hatakama Hana kazi lakini hata Uwe Na kazi nzuri kiasii Gani Na cheo kikubwa kama huna ndoa hutaheshimika kwenye jamii Yan utaonekana Ni mwizi wa waume ZA watu hatakama huna io tabia
Mfyuuu,jitunze binti kwa heshima ya baba yako na mama yako.Na mimi nishamkataza kuchanga hovyo! Cz hata nikifunga ndoa sitaki sherehe
ephen wanguu Nakupendaa Sanaa lazizi wanguu nakupendaa pasipo kutumia wala kukoma nakupendaa mpaka Sanaa ephen.niseme nini ephen wanguu upate kunielewa.au nibebe na kuhamisha mti wa maparachichi uliozaa na kuja kuuotesha hapo nyumbani ndio ujuwe namna navyokupendaa ephen wanguuBora hata uniambie nimng'ang'anie Lucas Mwashambwa
Una hasira ya nini? Tulia andika kwa utulivuMfyuuu,jitunze binti kwa heshima ya baba yako na mama yako.
Kuna bint mmoja ndugu alipata ujauzito akiwa home(Sio mbaya ila haipendezi sana)
akaniambia Baba yake amemuambia mama yake amemwambia akakae kwa shangazi yake.Ila wazo alitoa baba.Anasema alisababisha mama yKe na baba yKe waanze kugombana,kisa baba anamlaumu mama hakusimamia mtoto wa kike vizuri.
😀😀😀Unatema madini sana! Sijui Mpaji Mungu anakwama wapi
Acha ngonjera! Leta mahari tuoaneephen wanguu Nakupendaa Sanaa lazizi wanguu nakupendaa pasipo kutumia wala kukoma nakupendaa mpaka Sanaa ephen.niseme nini ephen wanguu upate kunielewa.au nibebe na kuhamisha mti wa maparachichi uliozaa na kuja kuuotesha hapo nyumbani ndio ujuwe namna navyokupendaa ephen wanguu
Yaani jamii mtoto wa kike ataheshimika Zaidi akiwa ana ndoa hatakama Hana kazi lakini hata Uwe Na kazi nzuri kiasii Gani Na cheo kikubwa kama huna ndoa hutaheshimika kwenye jamii Yan utaonekana Ni mwizi wa waume ZA watu hatakama huna io tabia
Usiku mwema.Una hasira ya nini? Tulia andika kwa utulivu
Una hoja
Wala usijali hata kidogo lazizi wangu.nitaleta kila kitu nitakachotajiwa kwa ajili yako.Acha ngonjera! Leta mahari tuoane
Naunga mkono hoja,Yaani jamii mtoto wa kike ataheshimika Zaidi akiwa ana ndoa hatakama Hana kazi lakini hata Uwe Na kazi nzuri kiasii Gani Na cheo kikubwa kama huna ndoa hutaheshimika kwenye jamii Yan utaonekana Ni mwizi wa waume ZA watu hatakama huna io tabia
Mkuu hakuna kitu mwanamke anapenda kama kupewa attention
Hiyo kuitwa mchumba anaipenda Sana .
Pia wnawake wanapenda kutongozwa hata kama kaolewa.
Mkuu unaweza kuwa unajiheshim Na mtulivu Lakin Kisa hujaolewa jamii inakua haikupi heshinaHeshima inategemea unavyojiweka mkuu
Mfano Mimi kuna wanawake hawajolewa Ila nawaheshimu sana na waaheshimika Sana .
Hata Mimi sijaoa Ila nimesuluhisha ndoa nyingi .
Kuoa au kuolewa hakukupi heshima
Heshima inatokana na mipaka uliyojiwekea .
Unaweza kuwa umeolewa Ila haujieshimu waangalie wake za watu maofisini wanavyojiachia
Mkuu,wewe labda mahari upeleke vile vitenge vya bure vya chama na zile kofia zenye Jembe na Nyundo,Wala usijali hata kidogo lazizi wangu.nitaleta kila kitu nitakachotajiwa kwa ajili yako.