Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Uko sahihi unakuta MTU anajiheshim vizurii Sana anaishi vizur Lakin mwushowe utaskia Yule dada pamoja Na hiki Na Kile hajaolewa Yan mtoto Wa kike kwenye jamii ndoa inampa heshimaMkuu tuangalia Logic kwanza
Heshima ya mwanamke inatokana na nini ?
1)kuolewa
2)anavyojiweka
3)anavyoishi na jamii yake
4)Mchango wake chanya dhidi ya WATU wngine.
Je unategemea kuvuna HESHIMA kutoka kwa jamii ya WATU wa aina gani?
Je heshima ya jamii inakuongezea nini na uliikosa unapungukiwa nini ?
Na unajua hakuna WATU wanaheshimika mtaani Kama watu ambao mambo yao ni private hawajulikani kama wameaoa au hawajaolewa.
So twende na LOGIC kwanza.