Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ephen wanguu Nakupendaa Sanaa lazizi wanguu nakupendaa pasipo kutumia wala kukoma nakupendaa mpaka Sanaa ephen.niseme nini ephen wanguu upate kunielewa.au nibebe na kuhamisha mti wa maparachichi uliozaa na kuja kuuotesha hapo nyumbani ndio ujuwe namna navyokupendaa ephen wanguu
Yan utaonekana mzinifu Kisa hujaolewaNaunga mkono hoja,
Heshima ya Mwanamke ni ndoa,hela bila kua na Mume bado haileti heshima,
Raha ya kicheko uwe na meno.
Naona unataka vita na mimi.umechagua vita ambayo utajutia kupigana.kwa ephen unachezea moto kwa ulimi wako au kuonja sumu kwa ulimi. Hapo usiguse hata kidogo maana ndio moyo wangu ulipo.utapigwa kutoka kila pande ya mwili wako na usijuwe umepigwaje.Tuache utani km Wewe ni mzuri km Mama yako anavyosema msikilize Mama yako njoo nikuoe achana na Lucas Mwashambwa
Acha ujinga wako hapa wewe. Naomba usimguse ephen.huyo ndio mboni yangu. Kumgusa ni kujitafutia matatizo yatakayokuumiza maishani mwakoMkuu ephen_ ni Jambo jema kwa wazazi kufanya hivyo niko hapa kukuomba tena ikiwa bado haujaolewa naomba nikuoe binti maana sidhani Kama mkuu Lucas Mwashambwa atakuoa na hizi pilika zake za uchaguzi 2025 namuona akifia majukwaani alafu hasahau ndoa kabisa
Acha mikwala ya Nanasi mkuu,nje miba ila ndani tamu tu.Naona unataka vita na mimi.umechagua vita ambayo utajutia kupigana.kwa ephen unachezea moto kwa ulimi wako au kuonja sumu kwa ulimi. Hapo usiguse hata kidogo maana ndio moyo wangu ulipo.utapigwa kutoka kila pande ya mwili wako na usijuwe umepigwaje.
Unataka nife kwa pressure?Unatema madini sana! Sijui Mpaji Mungu anakwama wapi
Mkuu unaweza kuwa unajiheshim Na mtulivu Lakin Kisa hujaolewa jamii inakua haikupi heshina
Wakulaumiwa ni mimi ambaye bado sijaja kujitambulisha kwa wazazi wako. Najuwa yote haya wataacha na kubakia wanabubujikwa na machozi ya furaha muda wote.usijali ephen wanguu Nakupendaa Sanaa
Mkuu Kuna reality Yan reality iko palepaleMkuu jamii ya aina gani unategemea ikupe heshima ?
Katika maisha unabidi uwe na watu wachache ambao wanabidi kukupa heshima na sio kila MTU .
MTU yeyote mwenye heshima na anayejitambua hawezi kumdharau mwanamke yeyote kisa tu hajaolewa
Mtazame Jokate
Naomba usimguse ephen wanguu.maana utakuwa unajipiga kitanzi .hapo ni pangu na kila mtu humu jukwaani anafahamu hilo.sasa wewe jichanganye uone cha mtema kuni.Acha mikwala ya Nanasi mkuu,nje miba ila ndani tamu tu.
Hii iinatokana na wivu wetu wazazi kwa wakwe zetu hasa ambao tunategemea kipato cha watoto, maana akiolewa anawajibika kwa mumewe. Kama hajaolewa anawajibika kutuma hela kwa wazazi. Hivyo mzazi anaomba usipate mwenza azidi kupata poshoHabari!
Nilipomaliza chuo nilipatwa na mkasa. Ile nimemaliza tu mitihani nikamtaarifu mama, tukaongea tu vizuri kwa muda mfupi chumbani kwake, sasa wakati natoka nje akaniuliza swali 'kwahiyo ushapata mtu wa kukuoa?' moyo ulishtuka halafu chap nikaendelea na safari hapo nikajifanya sijamsikia.
Ikawa wimbo anaoupenda 'ushapata wa kukuoa? Nikawa namwambia sipo tayari kwa sasa nikimjibu hivyo anaanza kutoa risala 'unajua inabidi uolewe mimi najisikia vibaya kukuona tu hapa nyumbani'
Siku moja nikamwambia mimi sijapata hata wa kunioa, akasema 'uzuri wote huo hakuna aliyesema anataka kukuoa' ilibidi tu nicheke mimi nilikuwa nishasoma akili yake kwamba uoga wa maisha unamsumbua.
Ishapita miaka 3 tokea kisa hiki kitokea, juzi nikasema acha niwaulize wenzangu kama wanakutana na maswahibu kama yangu sababu huu wimbo mama yangu bado anauimba.
Rafiki yangu FLORA
Yeye aliniambia alivyomaliza Mitihani alichelewa kurudi nyumbani kwa miezi kadhaa, sasa kuna siku akaumwa akalazwa mama yake alivyoenda hospital akamkuta Flora yupo na boyfriend wake ila huyo bf akawapisha waongee.
Mama yake akamuuliza 'huyo kijana ni nani' Flora akamjibu ni rafiki yake.
Mama yake akamwambia bills ni kiasi gani ili alipie! Flora akamwambia 'rafiki yangu ameshalipia' mama yake akaguna.
Sasa Flora alivyorudi kwao, mama yake akaanza kuimba nyimbo kila mara 'Yule rafiki yako yuko wapi akuoe kuliko kushinda ndani kila siku' Flora akaishia tu kucheka.
Rafiki yangu REBECCA
Yeye alikuwa anabanwa sana, ni wale watoto geti kali. Alivyomaliza chuo kuna siku akamuomba mama yake ruhusa ya kwenda kumsalimia rafiki yake. Mama yake hakumuuliza maswali mengi kama alivyokua anafanya hapo awali.
Jioni mapema Rebecca aliporudi mama yake akamwambia 'Mbona umerudi mapema' akamjibu nilienda kumuona tu mara moja
Mama yake akamwambia 'Ebu tembeatembea wachumba wakuone sio kujifungia tu ndani'
Ila ameniambia huo wimbo mama yake aliuacha baada ya yeye kupata kazi.
Rafiki yangu ASHA
Huyu ndiye amenichekesha sana, anasema tulivyomaliza chuo baba yake akawa anamwambia 'fanya uolewe sitaki kukuona nyumbani kwangu'
Kuna siku akaenda kazini kwa baba yake akamkuta yupo na wanaume wengine akawasalimia.
Kijana mmoja akamwambia mzee wake kwamba hakujua kama ana binti mkubwa vile! Mzee wake akajibu 'Huyu ni binti yangu kamaliza chuo mwaka huu na bado hajaolewa' wote wakaishia kucheka.
Haikupita miezi mingi baba yake akamletea mchumba, ubani ukachomwa sasa hivi yupo kwenye ndoa.
Nilichokiona wazazi wengi ambao hawajajipata kazi wanayotupa watoto wa kike ni kuolewa tena kama mtoto hajapata kazi ya kufanya.
Ila ukiwa na kazi nzuri unapata pesa, hii risala ya kuolewa hawatoi hata ukifikisha miaka 40.
Sasa sijui wa kulaumiwa ni CCM, wazazi wetu au sisi watoto.
Wewe kaa huko Tukuyu usije mfanya mrembo wangu ephen_ aje alime kama punda huku unamuahidi kuwa utapata uteuzi kumbe ndio mnatumbuliwa hovyo akaja kuishi kama shetaniJifanye chizi na kujitoa akili uone moto wake kama haujakuteketeza
Wewe utakuwa konki.Binafsi sijawahi kuulizwa hili swali na mtu yoyote yule wa familia yangu.
Mkuu Kuna reality Yan reality iko palepale
Lucas sio muoaji, anataka kunichezea usichana wangu