Wazazi mmekuwaje?

Mkuu hakuna kitu mwanamke anapenda kama kupewa attention

Hiyo kuitwa mchumba anaipenda Sana .

Pia wnawake wanapenda kutongozwa hata kama kaolewa.
Mnanivunja mbavu!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€Έ
 
Yaani jamii mtoto wa kike ataheshimika Zaidi akiwa ana ndoa hatakama Hana kazi lakini hata Uwe Na kazi nzuri kiasii Gani Na cheo kikubwa kama huna ndoa hutaheshimika kwenye jamii Yan utaonekana Ni mwizi wa waume ZA watu hatakama huna io tabia
 
Waafrika bado wanaishi maisha ya ujima sana, wanawake wanawaza kuolewa zaidi kuliko kufanya maendeleo yao kwanza, mafanikio makubwa zaidi ya mwanamke ni ndoa!
 
Yaani jamii mtoto wa kike ataheshimika Zaidi akiwa ana ndoa hatakama Hana kazi lakini hata Uwe Na kazi nzuri kiasii Gani Na cheo kikubwa kama huna ndoa hutaheshimika kwenye jamii Yan utaonekana Ni mwizi wa waume ZA watu hatakama huna io tabia
Sikuhiz mambo yamegeuka walioolewa na waliooa wanaibiana wenyew Kwa wenyew πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona watoto wa kiume ndio tunakazi zaidi..
Unaoa lini?
Basi pata mtoto ukoo utapotea..
Mtoto mmoj tu miaka yote, unashida gani?
Mbona sijawah kukuona na binti yyte, una shida gan?
 
Na mimi nishamkataza kuchanga hovyo! Cz hata nikifunga ndoa sitaki sherehe
Mfyuuu,jitunze binti kwa heshima ya baba yako na mama yako.
Kuna bint mmoja ndugu alipata ujauzito akiwa home(Sio mbaya ila haipendezi sana)
akaniambia Baba yake amemuambia mama yake amemwambia akakae kwa shangazi yake.Ila wazo alitoa baba.Anasema alisababisha mama yKe na baba yKe waanze kugombana,kisa baba anamlaumu mama hakusimamia mtoto wa kike vizuri.
 
Bora hata uniambie nimng'ang'anie Lucas Mwashambwa
ephen wanguu Nakupendaa Sanaa lazizi wanguu nakupendaa pasipo kutumia wala kukoma nakupendaa mpaka Sanaa ephen.niseme nini ephen wanguu upate kunielewa.au nibebe na kuhamisha mti wa maparachichi uliozaa na kuja kuuotesha hapo nyumbani ndio ujuwe namna navyokupendaa ephen wanguu
 
Una hasira ya nini? Tulia andika kwa utulivu
Una hoja usikilizwe..!
 
Acha ngonjera! Leta mahari tuoane
 
Yaani jamii mtoto wa kike ataheshimika Zaidi akiwa ana ndoa hatakama Hana kazi lakini hata Uwe Na kazi nzuri kiasii Gani Na cheo kikubwa kama huna ndoa hutaheshimika kwenye jamii Yan utaonekana Ni mwizi wa waume ZA watu hatakama huna io tabia

Heshima inategemea unavyojiweka mkuu

Mfano Mimi kuna wanawake hawajolewa Ila nawaheshimu sana na waaheshimika Sana .

Hata Mimi sijaoa Ila nimesuluhisha ndoa nyingi .

Kuoa au kuolewa hakukupi heshima

Heshima inatokana na mipaka uliyojiwekea .

Unaweza kuwa umeolewa Ila haujieshimu waangalie wake za watu maofisini wanavyojiachia
 
Yaani jamii mtoto wa kike ataheshimika Zaidi akiwa ana ndoa hatakama Hana kazi lakini hata Uwe Na kazi nzuri kiasii Gani Na cheo kikubwa kama huna ndoa hutaheshimika kwenye jamii Yan utaonekana Ni mwizi wa waume ZA watu hatakama huna io tabia
Naunga mkono hoja,

Heshima ya Mwanamke ni ndoa,hela bila kua na Mume bado haileti heshima,
Raha ya kicheko uwe na meno.
 
Mkuu hakuna kitu mwanamke anapenda kama kupewa attention

Hiyo kuitwa mchumba anaipenda Sana .

Pia wnawake wanapenda kutongozwa hata kama kaolewa.
Mkuu unaweza kuwa unajiheshim Na mtulivu Lakin Kisa hujaolewa jamii inakua haikupi heshina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…