Wazazi mmekuwaje?

Wazazi mmekuwaje?

Alafu nilichogundua kuwa mke ni wakat wowote the way utavojiweka huwez kukosa mwanaume wa kukuoa
Ila Kuna mambo ukiwa nayo hata km una miaka 17 vijana wanakupita tu šŸ˜€ šŸ˜€
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚ kabisa ila inapendeza mwanamke ukishajijua thaman yako
 
ephen wanguu Nakupendaa Sanaa lazizi wanguu nakupendaa pasipo kutumia wala kukoma nakupendaa mpaka Sanaa ephen.niseme nini ephen wanguu upate kunielewa.au nibebe na kuhamisha mti wa maparachichi uliozaa na kuja kuuotesha hapo nyumbani ndio ujuwe namna navyokupendaa ephen wanguu
IMG-20240728-WA0017.jpg

Angalia usipende sana mpaka ukambebea na tumbo 🤣🤣🤣
 
Unaambiw hvyo ili kulnda heshima ya familia yako ,

Ukila na kulala utaishia kudanga mtaan na kuzalishwa

Ukipata kazi kwanza kiuhalisia wanaamini unauwez wa kujisimamia na kujitawala mambo mengine hayawahusu
 
Hili chama linaokoa mengi mkuu, vijana hawataki kusikia gesi imeisha ghafla.

😁😁😁 kikubwa nikupoa na mshangazi ukishindwa kabisa tafuta kizazi cha dhahabu 2000s

Usiguse singo maza wala namba za katikati 25s utaumia
 
Mambo mawili hapo nayaona juu ya fikra za wazazi kuhusu mtoto wa kike:

1. Kwamba, wazazi wengine huamini mtoto wa kike ni wa kuolewa tu, haijalishi kasoma saana au kiasi chake. Hii hupelekea kila hatua ya masomo anayohitimu kuonekana hatua inayofuata ni kuolewa.
2. Kwamba, baadhi ya wazazi huona mtoto wa kike kama kitega uchumi; kwamba kuolewa kwake kutachangia pato katika familia.
3. Kwamba, pengine ni aibu mtoto wa kike akizalia nyumbani.

Nashukuru Mungu, nina mabinti wawili, wamehitimu chuo, bado nawahudumia kimaisha na ninawatafutia kazi. Kamwe sijawahi na sitawauliza ni lini wataolewa. Nyumba nawalipia na 'pocket money' nawapa kila mwezi. Faraja yangu ni kuwaona wakifanikiwa kuanza maisha kivyao na kujitegemea.
Hata wakizalia nyumbani wewe ni furaha kama mzazi
 
Back
Top Bottom