Wazazi mmekuwaje?

Wazazi mmekuwaje?

Ukifikisha miaka 32 huyo boyfriend unaemringia sasa. Atakapobadiri upepo na kumuoa Asha,ndipo mahangaiko ya wazazi wanayoyapitia moyoni mwao sasa hivi kuhusu wewe, yatahamia kwako.
Sikutishi ila ndio uhalisia wa dunia, majibu ya hayo maswali yako utajibiwa hapa hapa kwa vitendo
 
Mkikaa nyumbani mnaka dwa sana kitaani mpaka mnapoteza thamani na kuaribu cv, wazazi wanawaimiza ili kuepusha aibu
 
Ngoja ufikishe miaka 30 ndio utajua wazazi walikuwa wanamaanisha nini?

Nadhani ndiyo maana kashusha andiko hili.

Kwa wenye D mbili+... hii ni siredi ya kimkakati.

She is bright. She trying to keep her essence and value. Sio kila mtu akajianike kule 'love connect' na bango kuuubwa, nah!

Ephen, soon utaolewa na utapata mume. 😎

-Kaveli-
 
Kaveli una hoja usikilizwe..!😂
 
Back
Top Bottom