DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Ka
Mimi nataka nikutane na mwanamke 2030 kuanzia sasa ntakuwa na 33 yrs
Hii challenge nataka niitumie nione matokeo yake.
Sasa miaka miwili ndîo utishie Watu Maisha Hapa😃😃
Wenzako tunakaa Miaka mpaka mitano.
Lakini Moto tunauona
Yàani NI kama Kuzuia mawazo kwèñye ubongo
Mimi nataka nikutane na mwanamke 2030 kuanzia sasa ntakuwa na 33 yrs
Hii challenge nataka niitumie nione matokeo yake.