Wazazi mmekuwaje?

Madam achana naye huyo kijana.
Kwanza mtu ambaye hajui kutumia kauli nzuri na anayeendekeza matusi hasa kwa jinsia ya kike ni eidha mdogo kiakili ama hana busara na ajielewi.
Na unavyozidi kumjibu unampa credibility.
Muache na UPUMBAVU wake.
Kajaza vima kichwani au yupo kusaka wateja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…