Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Kajaza vima kichwani au yupo kusaka watejaMadam achana naye huyo kijana.
Kwanza mtu ambaye hajui kutumia kauli nzuri na anayeendekeza matusi hasa kwa jinsia ya kike ni eidha mdogo kiakili ama hana busara na ajielewi.
Na unavyozidi kumjibu unampa credibility.
Muache na UPUMBAVU wake.