Wazazi mmekuwaje?

Umemaliza kila kitu. Hata mimi nina ushuhuda wa mabinti wengi wanaoishi kimaskini kwa kuharakia ndoa.
Hata sio mabinti peke yao. Vijana ambao tunatafuta bado nao waliokurupuka kuoa wanaonja joto la jiwe. Mtu kisa kamaliza chuo wazazi hao mbiombio wanataka aoe au kuolewa. Kuna washkaji zangu Waislamu wao wazazi wanaandaa mazingira kijana akimaliza ataoa na atamtunza mke kwa hiki kibiashara. Sunna haiji na maneno matupu.

Sasa wazazi wengine wanawaza kuchangiwa kurudishiwa michango yao ya harusi na kutuzwa, aftermath utajua wewe. Binti ni gratuate anaolewa na mume kaajiriwa Posta kwenye ofisi binafsi zile zinakaba unatumia muda mwingi kazini, take home 600,000 alafu wanaishi Mbezi ndanindani huko maana ndio nyumba nzuri zina gharama nafuu.

Ukitazama spending ya wote kwenye familia kwa mwezi ni 550,000 na hapo kuna miujiza mtoto haumwi. Akiumwa tu hizo nauli za Mbezi kwenda hospitali mke na mtoto hawapandi daladala ni bajaj. Hapo ukweni hawajafiwa na hawajapata harusi.

Vicious cycle of poverty.
 
Kapeace naona unanichamba kiaina
Mimi nitaolewa ila sio sasa halafu hata sichagui sijui millionaire au kapuku muhimu nitimize ndoto zangu kwanza halafu ndo niungane na huyo Mr right
Umri wangu unaniruhusu cz hata baada ya miaka 5 mimi bado nitakua sijagusa 30πŸ˜‚
 
Kuna kijana hapo juu kasema Kila siku akija kwenu unamfungia vioo πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
Safari njema kwenye ndoa mkuu😁
 
Hahahahaha, huyu alitakiwa ajazwe mimba kabisa
 
Samahani cuzo ni akina nani huko dasalamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…