Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Kijana anateseka sanaHahahahaha, dizaini hizo kwa kuchagua ndio wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana anateseka sanaHahahahaha, dizaini hizo kwa kuchagua ndio wenyewe
Muda umekwisha, nimekuelewa.30’s
Mbona ndio muda sahihi mkuu huoMuda umekwisha, nimekuelewa.
Sio muda sahihi.Mbona ndio muda sahihi mkuu huo
Sikuchambi nakupa uhalisia we utakapokuwa tayari ndo na waoaji hutawaona! Nimekupa story ya cuzo km mfano hai alidharau ndugu zake kwa kuwaona km pasikali na washamba ila saiv ndo wote wameolewa kabaki yeye anapelepweta alikomaa akapata kijikazi kwenye vitaasisi binafsi akiamini na mume atafuata mpk sasa hola! Kabaki kuamini kuwa wenzie huenda walitumia ndumba kupata ndoa ana mahangaiko hadi huruma sitaki hayo yakupate,Kapeace naona unanichamba kiaina
Mimi nitaolewa ila sio sasa halafu hata sichagui sijui millionaire au kapuku muhimu nitimize ndoto zangu kwanza halafu ndo niungane na huyo Mr right
Umri wangu unaniruhusu cz hata baada ya miaka 5 mimi bado nitakua sijagusa 30😂
Sio kweli. Omnia vincit veritas.Wewe ni andunje sikutaki!
Hahahahaha, pole yake ,ila dizaini hizi huwa pasua kichwa sanaKijana anateseka sana
Hahahahaha, unachagua tena,doh na wewe ukichaguliwa itakuaje sasaWewe ni andunje sikutaki!
Ni kweli lakini ndoa mimi bado sana, nikifika umri naanza kujutia nitakuja kukusalimia ili unicheke😂Sikuchambi nakupa uhalisia we utakapokuwa tayari ndo na waoaji hutawaona! Nimekupa story ya cuzo km mfano hai alidharau ndugu zake kwa kuwaona km pasikali na washamba ila saiv ndo wote wameolewa kabaki yeye anapelepweta alikomaa akapata kijikazi kwenye vitaasisi binafsi akiamini na mume atafuata mpk sasa hola! Kabaki kuamini kuwa wenzie huenda walitumia ndumba kupata ndoa ana mahangaiko hadi huruma sitaki hayo yakupate,
japo kila mtu ana mapito yake ila soko limebana sana mambo kwa ground yanaenda kinyume nyume
MekuKijana anateseka sana
Anataka kufanya hivyo nikamwambia akitaka kufa haraka ajaribu km kakosa akiwa hana mtoto akiwa na mtoto je? Nyie nyieee mtatuua wanaumeHahahahaha, huyu alitakiwa ajazwe mimba kabisa
Ila wewe jamaa bhana 😄😄😄Nyuzi nyingi zinazofunguliwa hapa JF huanza kwa kusalimia,mfano huu uzi umeanza na salamu ya ''Habari''
Cha ajabu sijawahi kuona mchangiaji yeyote ambaye amewahi kujibu hizo salamu za waleta Nyuzi,
Je kuna umuhimu gani sasa wakusalimia members kabla hujatiririka na mada?
😀
Salamu inavuta utulivu wa msomajiNyuzi nyingi zinazofunguliwa hapa JF huanza kwa kusalimia,mfano huu uzi umeanza na salamu ya ''Habari''
Cha ajabu sijawahi kuona mchangiaji yeyote ambaye amewahi kujibu hizo salamu za waleta Nyuzi,
Je kuna umuhimu gani sasa wakusalimia members kabla hujatiririka na mada?
😀
Dada Kapeace heshima yako mkuu ,Mimi ni kijana mzee barobaro ,najipenda sana na naijua thamani ya mwanamke hasa tukija kwenye suala la kumpa zawadi na kumnunulia nguo hivyo najiona nafaa kuoa kabisaKuna binti nadhani mtakuwa mnalingana nae kamaliza degree miaka 4 iliyopita, alitaka sana kuolewa na milionea ili atukomeshe macuzooo ni wiki iliyopita tu kanipigia anatafuta mume walau mwenye elimu na kazi ya kuzugia,🤣🤣 anataka mbinu za kumnasa mwanaume wa kumpa heshima ya ndoa nyie dunia iko speed, yuko very desperate kwa sasa anahaha hadi huruma nyodo zote zimemuisha
Kama hauko tayari kuolewa baki hivyo hivyo ila huko mbeleni usije sumbua watu km huyo cuzo wangu
Labda hujawajua vizuri members wa JFSalamu inavuta utulivu wa msomaji
Kuna kanuni za uandishi, kama huna D ya kiswahili huwezi kuelewa😂
Na nitakucheka sana 🤣🤣cuzo mwingine alikuwa slay Queen wale wa kula raha kupanda ndege hawezi panda basi preeeee saiv naona anatupia mikesha ya kanisa tu na watu anasalimiaNi kweli lakini ndoa mimi bado sana, nikifika umri naanza kujutia nitakuja kukusalimia ili unicheke😂
Umeandika pumba..!Hata mimi ningekuwa mzazi wako nakuolesha kwa makusudi.
Kwanza, wewe ni bonge. Unakula sana. Unakunywa maji mengi. Nguo zako ni kubwa, zinatumia sabuni na maji mengi. Na bahati mbaya sana mabonge ni wavivu.
Bajeti ya kukuhudumia ni kubwa sana. Olewa ukajambe kwa mumeo.