Wazazi mmekuwaje?

Sikuchambi nakupa uhalisia we utakapokuwa tayari ndo na waoaji hutawaona! Nimekupa story ya cuzo km mfano hai alidharau ndugu zake kwa kuwaona km pasikali na washamba ila saiv ndo wote wameolewa kabaki yeye anapelepweta alikomaa akapata kijikazi kwenye vitaasisi binafsi akiamini na mume atafuata mpk sasa hola! Kabaki kuamini kuwa wenzie huenda walitumia ndumba kupata ndoa ana mahangaiko hadi huruma sitaki hayo yakupate,

japo kila mtu ana mapito yake ila soko limebana sana mambo kwa ground yanaenda kinyume nyume
 
Ni kweli lakini ndoa mimi bado sana, nikifika umri naanza kujutia nitakuja kukusalimia ili unicheke😂
 
Nyuzi nyingi zinazofunguliwa hapa JF huanza kwa kusalimia,mfano huu uzi umeanza na salamu ya ''Habari''

Cha ajabu sijawahi kuona mchangiaji yeyote ambaye amewahi kujibu hizo salamu za waleta Nyuzi,

Je kuna umuhimu gani sasa wakusalimia members kabla hujatiririka na mada?

😀
 
Ila wewe jamaa bhana 😄😄😄
 
Salamu inavuta utulivu wa msomaji
Kuna kanuni za uandishi, kama huna D ya kiswahili huwezi kuelewa😂
 
Dada Kapeace heshima yako mkuu ,Mimi ni kijana mzee barobaro ,najipenda sana na naijua thamani ya mwanamke hasa tukija kwenye suala la kumpa zawadi na kumnunulia nguo hivyo najiona nafaa kuoa kabisa
Ni kijana mwenye kazi yake halali ya kiserikali huku kijijini ,naheshimika na diwani wa kata mpaka mtendaji wa kata ,kuhusu hela sio haba sikosi Mia tano tano za kunywa ulanzi popote niwapo .

Ila kikubwa Mimi ndiye mwenye gari aina ya Corolla hapa kijijini na ni hiyo itakodiwa kwaajili ya kampeni za uchaguzi hasa kwa diwani wetu maana ameanza kuniomba gari hili toka mwaka juzi ,
Natumai mpaka hapo Sina ugeni na wewe tena Ila nishajipambanua Kama mwanaume mwenye hadhi yake hapa kijijini Mpitulu tafadhali niunganishe na huyo cuzo wako nioe hata leo maana hela ya mandazi na kumuita shehe iko mfuko wa shati hapa si unajua nimepanda daraja ?

Nipichosahau ni kukuaambia kuwa Mimi ni mtoto wa mjini Dar es Salam tena mjini Kati nikikulia pale kwa miaka 35 nyuma hivyo inatoshaa kukuonesha kuwa nimesheheni sifa zote za mwanaume wa hadhi yake
 
Hata mimi ningekuwa mzazi wako nakuolesha kwa makusudi (lazima).

Kwanza, wewe ni bonge. Unakula sana. Unakunywa maji mengi. Nguo zako ni kubwa, zinatumia sabuni na maji mengi. Na bahati mbaya sana mabonge ni wavivu.

Bajeti ya kukuhudumia ni kubwa sana. Olewa ukajambe kwa mumeo.
 
Umeandika pumba..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…