Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Sheikh izudini karibuNaitwa IZUDINI ABDULRAHMAN
asante mnanipa hongera nyingi had naogopa wakat tumehalalisha tu kulaliana uchi na kuketa viumbe waje wasaidiane na baba yao kuchafua nguo halaf mimi nifue.Hongera sana
Haya bhan, msalimie Etugrul Bey 😊Mimi sina utoto wowote mkuu!
Asante! Salamu zimefikaOk, nakupenda sana mwanchama mwenzangu, msalimie Etugrul Bey 😊
Nimekupa hongera sababu kunamtu namuona hapa ana 33 anahaha hatari Kila siku anaomba ushauri wa mwanaume mpya nikagundua ndoa ndio inamchanganya akiambiwa anapendwa tu anavurugwa anawaza huyu ndie au sio 😂😂😂asante mnanipa hongera nyingi had naogopa wakat tumehalalisha tu kulaliana uchi na kuketa viumbe waje wasaidiane na baba yao kuchafua nguo halaf mimi nifue.
Haka kabinti ni kaongo sana, nilitaka nimuulize hilo swali, nikukumbk ule uzi wake wa jkt sijui mujibu , nikiunganisha dot , mh muongo mwandamizi.Eheheheh. Huu mwandiko sio wa mtu mwenye 14 years mtaani.
Kama hujamaliza mwaka huu basi wewe bado unasoma..
2010 mi niko kidato cha sita n now am 35 yrs halaf wewe useme bado sana kuolewa na mwandiko ndio huu? No way.
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀Masandale kwa mama kibena,kuna watoto wengi sana wanatulilia mkuu , ndio maana kuoa inakua ngumu😁😁😁
Kama mmeo mtarajiwa hawezi hata kulipia bima ya afya ya mwaka mzima ya familia yake usikubali kuolewa. Ajipange kwanza. Ndo maana mimi naonaga ni sawa kina dada kutuomba hela kipindi cha mahusiano kwa sababu inasaidia kufahamu mtu msimamo wake upande wa kiuchumi.Hii ni kweli lakini bado kuna wazazi wanasisitiza ndoa wakati watoto hatuna hata 50 mbovu
Sijui kwann watu wanapemda sana uongo uongo..inasaidia nini??Haka kabinti ni kaongo sana, nilitaka nimuulize hioi swali, nikukumbk ule uzi wake wa jkt sijui mujibu , nikiunganisha dot , mh muongo mwandamizi.
Kuna mdada yeye yupo 30s ana mtoto 1 sasa kuna siku akaambiwa kuna mtu anatafuta mkeNimekupa hongera sababu kunamtu namuona hapa ana 33 anahaha hatari Kila siku anaomba ushauri wa mwanaume mpya nikagundua ndoa ndio inamchanganya akiambiwa anapendwa tu anavurugwa anawaza huyu ndie au sio 😂😂😂
Hii ndio point yangu!Kama mmeo mtarajiwa hawezi hata kulipia bima ya afya ya mwaka mzima ya familia yake usikubali kuolewa. Ajipange kwanza. Ndo maana mimi naonaga ni sawa kina dada kutuomba hela kipindi cha mahusiano kwa sababu inasaidia kufahamu mtu msimamo wake upande wa kiuchumi.
Wazazi wanaogopa magoli yakianza kuingia kusawazisha inakuwa ngumu na soko limejaa ushindani mkali😂😂Habari!
Nilipomaliza chuo nilipatwa na mkasa. Ile nimemaliza tu mitihani nikamtaarifu mama, tukaongea tu vizuri kwa muda mfupi chumbani kwake, sasa wakati natoka nje akaniuliza swali 'kwahiyo ushapata mtu wa kukuoa?' moyo ulishtuka halafu chap nikaendelea na safari hapo nikajifanya sijamsikia.
Ikawa wimbo anaoupenda 'ushapata wa kukuoa? Nikawa namwambia sipo tayari kwa sasa nikimjibu hivyo anaanza kutoa risala 'unajua inabidi uolewe mimi najisikia vibaya kukuona tu hapa nyumbani'
Siku moja nikamwambia mimi sijapata hata wa kunioa, akasema 'uzuri wote huo hakuna aliyesema anataka kukuoa' ilibidi tu nicheke mimi nilikuwa nishasoma akili yake kwamba uoga wa maisha unamsumbua.
Ishapita miaka 3 tokea kisa hiki kitokea, juzi nikasema acha niwaulize wenzangu kama wanakutana na maswahibu kama yangu sababu huu wimbo mama yangu bado anauimba.
Rafiki yangu FLORA
Yeye aliniambia alivyomaliza Mitihani alichelewa kurudi nyumbani kwa miezi kadhaa, sasa kuna siku akaumwa akalazwa mama yake alivyoenda hospital akamkuta Flora yupo na boyfriend wake ila huyo bf akawapisha waongee.
Mama yake akamuuliza 'huyo kijana ni nani' Flora akamjibu ni rafiki yake.
Mama yake akamwambia bills ni kiasi gani ili alipie! Flora akamwambia 'rafiki yangu ameshalipia' mama yake akaguna.
Sasa Flora alivyorudi kwao, mama yake akaanza kuimba nyimbo kila mara 'Yule rafiki yako yuko wapi akuoe kuliko kushinda ndani kila siku' Flora akaishia tu kucheka.
Rafiki yangu REBECCA
Yeye alikuwa anabanwa sana, ni wale watoto geti kali. Alivyomaliza chuo kuna siku akamuomba mama yake ruhusa ya kwenda kumsalimia rafiki yake. Mama yake hakumuuliza maswali mengi kama alivyokua anafanya hapo awali.
Jioni mapema Rebecca aliporudi mama yake akamwambia 'Mbona umerudi mapema' akamjibu nilienda kumuona tu mara moja
Mama yake akamwambia 'Ebu tembeatembea wachumba wakuone sio kujifungia tu ndani'
Ila ameniambia huo wimbo mama yake aliuacha baada ya yeye kupata kazi.
Rafiki yangu ASHA
Huyu ndiye amenichekesha sana, anasema tulivyomaliza chuo baba yake akawa anamwambia 'fanya uolewe sitaki kukuona nyumbani kwangu'
Kuna siku akaenda kazini kwa baba yake akamkuta yupo na wanaume wengine akawasalimia.
Kijana mmoja akamwambia mzee wake kwamba hakujua kama ana binti mkubwa vile! Mzee wake akajibu 'Huyu ni binti yangu kamaliza chuo mwaka huu na bado hajaolewa' wote wakaishia kucheka.
Haikupita miezi mingi baba yake akamletea mchumba, ubani ukachomwa sasa hivi yupo kwenye ndoa.
Nilichokiona wazazi wengi ambao hawajajipata kazi wanayotupa watoto wa kike ni kuolewa tena kama mtoto hajapata kazi ya kufanya.
Ila ukiwa na kazi nzuri unapata pesa, hii risala ya kuolewa hawatoi hata ukifikisha miaka 40.
Sasa sijui wa kulaumiwa ni CCM, wazazi wetu au sisi watoto.
Kuna Mimi hapa ......unakuta mama ananiambia usichague chague Sana ACHA kuchaguachagua......mara mkwe anakuja lini tumuone..... Mara nataka mjukuu....akienda kwenye harusi au kitchen party atakutumia picha WhatsApp alafu atakwambia bado wewe yako lini.....Habari!

Wengine hata kazi hatuna halafu wanataka tuoleweKuna Mimi hapa ......unakuta mama ananiambia usichague chague Sana ACHA kuchaguachagua......mara mkwe anakuja lini tumuone..... Mara nataka mjukuu....akienda kwenye harusi au kitchen party atakutumia picha WhatsApp alafu atakwambia bado wewe yako lini.....
Ila baba yangu hajawahi kuniuliza hata siku moja naonaga kina mama wengi ndo Wana hii kituu....hii kitu inatuumiza Sana mabinti kusema kwelii ...kina mama mlioko humu tunaomba msiwe mnawaambia HIV mabinti zenu sababu inaumiza Sana.....SAA nyingine unakuta mtu ndo Kwanza Yuko single Wala haoni dalili...mwingine Yuko kwenye complicated relationship....vinatuuma Jamanii😓😓😓
😂😂😂😂Usiniletee mkwe maskini😂😂😂😂 kunae wale unaolewa lini na bwana akuaoaye awe na maokoto
Kabisaa mkuu tunajionea.Men get better with time, Women lose value with time.
No matter how beautiful a girl she is, on the throne of time her value decreases.
Tatizo wakiwa kwenye peak za uzuri wao huwaambii kitu.
Halafu wanakuja kushtuka Dakika za jioniiiiii....
Wanakuja JF kutafuta mume kikubwa awe anapumua tu..😄
😂😂😂😂HatariKuna mdada yeye yupo 30s ana mtoto 1 sasa kuna siku akaambiwa kuna mtu anatafuta mke
Yule dada kila siku akawa anakuja kuulizia 'ile ishu cipi' tukimuuliza ishu gani anasema 'ya yule kaka anayetafuta mke'😂