Wazazi mnashirikiana na shule kuwatesa watoto

Wazazi mnashirikiana na shule kuwatesa watoto

Hii kitu imenitesa sana mpaka o level... Af ukute hauna usafiri wowote... Mwalimu anahesabisha namba saa 12½ asubuhi... Kuna watu hawana huruma kbsa, kugonga viboko tu kufundisha aaaah
 
Na wazazi wanaona ndio elimu yenyewe aisee, yaani mzazi anatamba mtaaa mzima na kazini kwake eti mtoto wake yuko busy sana shule yao inafundisha sana wanapewa sana maswali ya kufanya. Yaani ni full ujinga sana.
Ingekuwa bora kama wazazi wangegoma huu upuuzi wangeangalia faida ya elimu mtoto wao anapata sema tu wanaangalia faida ya ajira tu kazi ipo
 
Huu mfumo ungekuwepo bongo tungefika mbali , Tatizo wazazi hawasupport Mabadiliko yoyote wenyewe wanajua kuepeleka 2 watoto wadogo bweni yaani katoto kanaanzia chekechea hadi la saba bweni so 😭😭😭😭 sad
Aisee..! Watoto wadogo kuishi boarding ni kitu kibaya sana.
 
Na hicho ndio wazazi wanapenda ili wawe free, mtoti akalelewe na Matron na Patron.
Bahati mbaya sana wazazi wengine hawafikirii.. matron 1, watoto 20 kwenye bweni.
Mtoto hawezi pata attention ya kutosha kama ya baba na mama yake.
Tena mtoto akiwa mtundu kidogo tu ndiyo kabisaaa matron/patron anaachana naye anafocus na wale watulivu..

Wazazi waache uvivu wa malezi.
 
Shule zinavunja sheria nyingi sana, zinawafanya watoto watumwa wa elimu na sisi wazazi tuna comply kila wanachosema.

Mtoto anaendaje shule saa 11 alfajiri, unamplelekaje mtoto wa la nne boarding school? Mimi sitakubali hata kidogo.
Hii inachangia wanafunzi kuanza kuogopa mitihani na wengine kuchukuia shule mapema
 
Aisee..! Watoto wadogo kuishi boarding ni kitu kibaya sana.
Niliwahi kuta mtoto ana miaka kama 4 yuko Bording na nikakjuta anaumaa sijui UTI aisee na ndii mazai anaoigiwa simu na cha ajabu mzazi yuko ndani ya huo huo mji, aisee niliumiaga sana, ni kitambo kidogo ila niliumia mno.

Ukiangalia International school,B ording wanaruhsu Umuri fulani tu, hasa wale walioko Madarasa ya juu kabisa na umuri mkubwa wahindi au Wazungu watoto wao hawakai Boring hata kama ni wakubwa.

Kibongobongo ni kawaida kukuta Bording ya Baby class na mzazi anatamba mtaa mzima kwamba yeye ndio mjanja mtoto wake yuko Bording.
 
Shule ya itumba sekondari iko wilaya ya Ileje,form two eti wanaenda asubuhi Hadi Saa mbili usiku. Hapo wazazi tutegemee mimba Kwa mabinti zetu. Binti anafika nyumban almost Saa tatu usiku. Nawaza San na huku kuna visa vingi Sana vya ubakaji.
😀😀ni private?
 
Serikali nayo inachangia kwa kiasi kikubwa kwa kushindwa kusimamia shule. Wanashindwa nini kutoa maelekezo na kuweka sheria kali? Masomo yabatakiwa kuanza saa 2 mpaka saa nane au tisa
Ndio maana vilaza wanazidi kuonhezeka watoto hawana muda wa kujifunza mazingira na kucheza na kufanya kazi ndogo ndogo.

Shida sana na hizi elimu za kukariri. Watoto wenyewe baada ya mitihani wamesahau kila kitu sababu wamemezeshwq kwa ajili ya mitihani na sio kuelewa.
 
Ila maisha buana. Wakimaliza kusoma wanapata kazi mbali na kuripoti kazini saa 12 asubuhi kwa hiyo muendelezo wa kuamka saa 9 au 10 unaendelea hata baada ya kumaliza shule. Ni huzuni
 
Shule zinavunja sheria nyingi sana, zinawafanya watoto watumwa wa elimu na sisi wazazi tuna comply kila wanachosema.

Mtoto anaendaje shule saa 11 alfajiri, unamplelekaje mtoto wa la nne boarding school? Mimi sitakubali hata kidogo.
Wa kwangu alikuwa anachukuliwa saa 11 na nusu. Nikakataa huo upuuzi. Sasa hivi anaondokq saa moja na nusu.
Eti pia wana somo la maadili shuleni siku za jumamosi na unalipia. Nikawaambia sitaki huo upuuzi.
 
Back
Top Bottom