Wazazi msipowafuatilia watoto wenu chuo mtajutia mwishoni

Ww kama Mzazi omba akaunti yake ya chuo na password yake huko ndo utaona maendeleo ya mwanao chuoni
Hii Akaunti ya mwanafunzi haidanganyi yni akifanya test utaona tu
Anaweza akafanya vizuri mno darasani ila maisha ya mtaani akawa anazidi kupotea.Tulisoma na kijana alikuwa very bright class but alikuwa sio rizki,mwingine ni mdada ana akili sana ila yeye ni pombe wanaume na club.
 
Muda mwingine binti anakuwa hela ya kujimudu hana anaishia kujiuza chuo,mwingine anajilinganisha na watoto wa matajiri aliowakuta chuo anaishia kudanga afanane nao,pia company ya marafiki wa chuo unaweza kumlea mtoto wako vizuri ila akaja kuharibiwa na watoto wa watu wengine
 
Mzazi uwe na tamaduni za kufanya surprise check huko anaposoma mwanao. Utagundua ujinga mwingi tu. Watoto wa kike dunia inawaendesha sana. Kuna dogo mmoja nikamsifia kidogo tu anaanza kuniambia nimpe mimba anatamani mtoto.
Kuja kufuatilia kumbe kuna shost yake kazalishwa kawekwa geto. Wazazi wanatuma matumizi kumbe dogo kaahirisha masomo anasubiri mtoto akue.
 
Comment bora kabisa hii.
 
Naunga mkono hoja naomba nipate lunch nije na Nondo za kutosha juu ya huu uzi
 
Miaka 18 ni mtu mzima wacha wajifunze maisha, kadri wanavyofanya makosa katika umri mdogo ndivyo wanavyopata experience ya maisha. Kila mtu anaweza kuharibikiwa ajirishi umri wake.
Utakuwa unawaza kwa kutumia tumbo lako
 
Ni kweli hivi vitoto hasa vya kike vimeharibika sana.Unaweza kuona kadogo.Ila ndio vinaharibu ndoa za watu,vinashindana kila siku jinsi ya kumridhisha mwanaume.Na vitundu haswa kitandani....
 
Wanafake sana maisha vyuoni, mbaya zaidi kuna mambo mengi wazazi hawayajui kuhusu maisha ya chuo hasa wale ambao hawakusoma.
 
Ni kweli unakuta kanapambana kuwa na mchumba wa ndani ya Chuo na nje ya Chuo angalau kipate vinguo na vipafyumu vya kuwalingishia wenzao.
mwisho wa siku ni maumivu, wanapelekeshwa sana na kuharibika. Wanatumika kuliko kawaida, birthday party zinawaponza pia
 
Noma sana watoto vyuoni wanaolewa yani ovyo ovyo tu ukiwa na bodaboda au kagari utawala mpaka usaze
 
Oya wewe ni Isaya Bayi?
 
Rai kwa wazazi, kuna tabia ya kuwatambulisha watoto wanaoenda vyuo mikoani, wanatambulishwa kwa ndugu,jamaa, majirani n.k. ili asaidike, hii nayo ni threat nyingine kwa wanachuo hasa mabinti. Wanafanyiwa mambo ya hovyo sana na hawa watu japo sio wote.
 
Huko vyuo vikuu na vyuo vya kati hali inatisha kwa ngono. Niombe Serikali na mamlaka zinazohusika kuchukua hatua.

Tangu jana kuna meseji inatembea kwenye magrupu ya WhatsApp ikiwatahadharisha wazazi kufuatilia maisha ya watoto wao waliopo vyuoni.

Vyuo vinegeuka kuwa madanguro. Bila misingi imara ya elimu, taifa linaenda kuanguka hili.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…