Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
Wewe acha tu Mkuu,yaani mpaka wanaume tulianza kuona aibu,Kuna mmama mmoja wa heshima mcha Mungu akauliza Hivi yule kwani Vipi Mungu anisamehe kama namwazia mabaya nikamwambia mama hapo hakuna Cha kumuwazia mabaya Wala Nini lile Choroko Nazi lililokubuhu,Hahahahahah dogo gasho for lifestyle
Madogo wana style mpya tusizonazo masela.....huko vyuoni na uswazi hali ni tete mnoooo....... daaahHivi Mtoto Wa kiume unafanya birthday party ya nini?
Yeah iyo ni kweli kabisa ili suala lip bayana na karma, aisee kumpumulia mwanaume mwenzangu siwezi hasilaniKumbuka mamende huishia kugeuzwa pia.
Hili unalizungumziaje?
Mitaa ya Mwananyamala haswa karibu na Hospitali ya Mwananyamala yenyewe ukitulia kama nusu saa hawakosi kupita wa-3 mpaka wa-5... Wengine wanafuata MBAAZI pale hospitali ni balaa, kuna kuanzia wa U17 mpaka wazee...Aisee inawezekana sababu sina mizunguko mingi ni kazini na home sana sana ngoja nianze kutembea nijionee.
Dar es salaam si mkoani pia au!?Sio kwa dar es salaam tu hata huko mikoani hali si nzuri
Huwezi amini mzee. Alivyoniambia yeye ni gay ilikua mida ya usiku sikuweza kula chakula kabisa kwa kile kinyaa nilichokipata kwa kuhisi tu nimechat na mchezea mbolea. Nilifikis hatua ya kumblock kwa sababu kila akituma text napata kinyaa mzee.No usimblock, msogeze karibu kwa nia ya kumsaidia, fanya naye meeting za hapa na pale, siku toka naye out mtupie limkungu na wewe kamata moja pigeni mitungi, chukua rum na limkungu lieleze kabisa limpe show ya maana....kidogokidogo he will be proud to be a man..
shida ya hawa wahuni wa hizi Ngo's wanawafundisha kujikubali hivyo hivyo walivyo wakati wanayo nafasi yakuwarudisha kwenye mstari..
🤣🤣Anaishi katika dunia ya pekee....kitaa hali tete......madogo laini....laini mnooo....maini maini kabisa daah it's havoc......Ww kama unatembea kanisani, nyumbani na kijiwe cha kahawa utawaona wapi mm mtt wa kike lakini hali ni mbaya sana tembea uswahilini huko ndio utaona balaa
😲😲😲😲Mimi nakukaa dar miaka yote hii sijawahi ona hao machoko.
Nyie mnawaona wap ?
Tembea sehemu za starehe ujionee uozo wa vijana wetu so sad kwa kweli[emoji26][emoji26][emoji26]Aisee inawezekana sababu sina mizunguko mingi ni kazini na home sana sana ngoja nianze kutembea nijionee.
Hakika mkuu wangu!Tembea sehemu za starehe ujionee uozo wa vijana wetu so sad kwa kweli[emoji26][emoji26][emoji26]
Hiyo Dar ya wapi?.. Maana karibia kila Kata ya mkoa huu hukosi mmoja....Mimi nakukaa dar miaka yote hii sijawahi ona hao machoko.
Nyie mnawaona wap ?
Shuleni nako tatizo limekuwa kubwa sana, siku moja niko nyumbani nikapewa taarifa za kusikitisha na sista wangu kwamba watoto wa Tanganyika International walikuwa wanaenda kumalizana kwenye vyoo vya Didiz ya zamani. Nilisikitika sanaaa,.....
Tatizo limeanzia kwa vijana wa kiume kufanya sherehe za kike.Siku hizi unaweza kukutana na kusanyiko la vijana wa kiume wakisherehekea birthday, kumbe ni kusanyiko la mashoga.
Kuna birthday zinazo wakutanisha mashoga, vijana wadogo ingawa wengine watu wazima. Hili janga tusione aibu kulizungumzia kwa kudhani halipo nawahakikishieni lipo tena kubwa sana.
Mashirika ya haki za binadamu na taasisi nyingine wapo kimya katika janga linalolinyemelea taifa, Ukahaba, umalaya, ushoga umekithiri hasa katika vyuo vyetu vikuu.
Na niseme vyuo kadhaa vya Dar es Salaam vinaongoza katika dhambi hizi, hasa chuo kikuu cha UDSM ikiwa kinara ikifuatiwa na IFM na CBE kwa kasi hii ya ushoga sisi kama Taifa tuko hatarini kupoteza nguvu kazi ya kesho, hivyo serikali inabidi kulifanyia kazi hili suala ili kuokoa kizazi kijacho, hali ni mbaya sana huku mtaani.
Nakatika uchunguzi wangu nimegundua ya kwamba changamoto zinazopelekea vijana wa kiume walioko vyuo vikuu, kujihusisha na ushoga ni pamoja na kupenda mno starehe kuliko uwezo wao, kupenda fedha, wengine wanakuja wakiwa tayari wameisha fanya huko watokako (mikoani) na wakifika dar es salaam ndio wanajiachia hasa.
Wito kwa wazazi muwe makini kuwafuatilia watoto wenu, maana hali ni mbaya sana huku mtaani.