Wazazi muwe makini na birthday wanazokwenda vijana wenu. Birthday party nyingi ni sehemu ya kuhalalisha ushoga kwa Dar

Wazazi muwe makini na birthday wanazokwenda vijana wenu. Birthday party nyingi ni sehemu ya kuhalalisha ushoga kwa Dar

Hahahahahah dogo gasho for lifestyle
Wewe acha tu Mkuu,yaani mpaka wanaume tulianza kuona aibu,Kuna mmama mmoja wa heshima mcha Mungu akauliza Hivi yule kwani Vipi Mungu anisamehe kama namwazia mabaya nikamwambia mama hapo hakuna Cha kumuwazia mabaya Wala Nini lile Choroko Nazi lililokubuhu,
Basi mabazazi ya mnadani yakawa yanapimpigia mluzi na kuongea Lugha za mafumbo hata haimshtui yaani!
Daaaaaa!
 
Aisee inawezekana sababu sina mizunguko mingi ni kazini na home sana sana ngoja nianze kutembea nijionee.
Mitaa ya Mwananyamala haswa karibu na Hospitali ya Mwananyamala yenyewe ukitulia kama nusu saa hawakosi kupita wa-3 mpaka wa-5... Wengine wanafuata MBAAZI pale hospitali ni balaa, kuna kuanzia wa U17 mpaka wazee...
 
You need to stop playing round with all them clowns and the wanksters
'Cause Good girls gotta get down with the gangstas
Go head girl put some back and some neck up on it
While I stand up in the background and check up on it

 
No usimblock, msogeze karibu kwa nia ya kumsaidia, fanya naye meeting za hapa na pale, siku toka naye out mtupie limkungu na wewe kamata moja pigeni mitungi, chukua rum na limkungu lieleze kabisa limpe show ya maana....kidogokidogo he will be proud to be a man..

shida ya hawa wahuni wa hizi Ngo's wanawafundisha kujikubali hivyo hivyo walivyo wakati wanayo nafasi yakuwarudisha kwenye mstari..
Huwezi amini mzee. Alivyoniambia yeye ni gay ilikua mida ya usiku sikuweza kula chakula kabisa kwa kile kinyaa nilichokipata kwa kuhisi tu nimechat na mchezea mbolea. Nilifikis hatua ya kumblock kwa sababu kila akituma text napata kinyaa mzee.
 
Ww kama unatembea kanisani, nyumbani na kijiwe cha kahawa utawaona wapi mm mtt wa kike lakini hali ni mbaya sana tembea uswahilini huko ndio utaona balaa
🤣🤣Anaishi katika dunia ya pekee....kitaa hali tete......madogo laini....laini mnooo....maini maini kabisa daah it's havoc......
 
Shuleni nako tatizo limekuwa kubwa sana, siku moja niko nyumbani nikapewa taarifa za kusikitisha na sista wangu kwamba watoto wa Tanganyika International walikuwa wanaenda kumalizana kwenye vyoo vya Didiz ya zamani. Nilisikitika sanaaa,.....


Kazi ipo.
 
Siku hizi unaweza kukutana na kusanyiko la vijana wa kiume wakisherehekea birthday, kumbe ni kusanyiko la mashoga.

Kuna birthday zinazo wakutanisha mashoga, vijana wadogo ingawa wengine watu wazima. Hili janga tusione aibu kulizungumzia kwa kudhani halipo nawahakikishieni lipo tena kubwa sana.

Mashirika ya haki za binadamu na taasisi nyingine wapo kimya katika janga linalolinyemelea taifa, Ukahaba, umalaya, ushoga umekithiri hasa katika vyuo vyetu vikuu.

Na niseme vyuo kadhaa vya Dar es Salaam vinaongoza katika dhambi hizi, hasa chuo kikuu cha UDSM ikiwa kinara ikifuatiwa na IFM na CBE kwa kasi hii ya ushoga sisi kama Taifa tuko hatarini kupoteza nguvu kazi ya kesho, hivyo serikali inabidi kulifanyia kazi hili suala ili kuokoa kizazi kijacho, hali ni mbaya sana huku mtaani.

Nakatika uchunguzi wangu nimegundua ya kwamba changamoto zinazopelekea vijana wa kiume walioko vyuo vikuu, kujihusisha na ushoga ni pamoja na kupenda mno starehe kuliko uwezo wao, kupenda fedha, wengine wanakuja wakiwa tayari wameisha fanya huko watokako (mikoani) na wakifika dar es salaam ndio wanajiachia hasa.

Wito kwa wazazi muwe makini kuwafuatilia watoto wenu, maana hali ni mbaya sana huku mtaani.
Tatizo limeanzia kwa vijana wa kiume kufanya sherehe za kike.

Sijawahi fanya ujinga huo, na sitokaa poteza muda wangu.
 
Back
Top Bottom