Wazazi muwe makini na birthday wanazokwenda vijana wenu. Birthday party nyingi ni sehemu ya kuhalalisha ushoga kwa Dar

Bora nirudi Kijijini nikaendelee kukata mkaa maisha haya Mimi siwezi, Dar kumejaa mchicha porii
 
Watu wanakuambia hili tatizo ni kubwa Dar, Tanga, Arusha na Znz.

Nimeishi maeneo matatu katika hayo yanayotajwa kama vinara na sikukutana na deals zinazosemwa humu. Hyperbole ni kubwa sana humu.

Hata Dar kuna clubs ukienda kukutana na homo ni kawaida hii ni kwa experience yangu kama mlinzi. Its not like ukifika Dar basi wewe ni kukutana na homos day in day out.

Mfano binafsi pamoja na ulinzi wa klabu na bar nyingi ila nimewahi kua approached na homo 2 tu.

Sasa hivi nipo Tanga lakini hukutani na homos kama mchanga ni mpaka uwawinde.

Talk about hyperbole.
 
Hahahahah wahuni wanapiga 1 na 2
 
Hamna dhambi ambayo siku hizi tuna ishangilia kama ya kumwingilia kinyume na maumbile binti wa kike. Kimaumbile sehemu ya haja ya kubwa na ya mwanamke na mwanaume ni zinafanana kwa kila kitu.

So ukimwingili kinyume na maumbile mwanamke basi kumwingilia shoga ni kazi nyepesi na ndio maana Mungu na mila na desturi zetu wa Afrika zimekataza,waliyajua haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…