Wazazi muwe makini na birthday wanazokwenda vijana wenu. Birthday party nyingi ni sehemu ya kuhalalisha ushoga kwa Dar

Wazazi muwe makini na birthday wanazokwenda vijana wenu. Birthday party nyingi ni sehemu ya kuhalalisha ushoga kwa Dar

Siku hizi unaweza kukutana na kusanyiko la vijana wa kiume wakisherehekea birthday, kumbe ni kusanyiko la mashoga.

Kuna birthday zinazo wakutanisha mashoga, vijana wadogo ingawa wengine watu wazima. Hili janga tusione aibu kulizungumzia kwa kudhani halipo nawahakikishieni lipo tena kubwa sana.

Mashirika ya haki za binadamu na taasisi nyingine wapo kimya katika janga linalolinyemelea taifa, Ukahaba, umalaya, ushoga umekithiri hasa katika vyuo vyetu vikuu.

Na niseme vyuo kadhaa vya Dar es Salaam vinaongoza katika dhambi hizi, hasa chuo kikuu cha UDSM ikiwa kinara ikifuatiwa na IFM na CBE kwa kasi hii ya ushoga sisi kama Taifa tuko hatarini kupoteza nguvu kazi ya kesho, hivyo serikali inabidi kulifanyia kazi hili suala ili kuokoa kizazi kijacho, hali ni mbaya sana huku mtaani.

Nakatika uchunguzi wangu nimegundua ya kwamba changamoto zinazopelekea vijana wa kiume walioko vyuo vikuu, kujihusisha na ushoga ni pamoja na kupenda mno starehe kuliko uwezo wao, kupenda fedha, wengine wanakuja wakiwa tayari wameisha fanya huko watokako (mikoani) na wakifika dar es salaam ndio wanajiachia hasa.

Wito kwa wazazi muwe makini kuwafuatilia watoto wenu, maana hali ni mbaya sana huku mtaani.
Bora nirudi Kijijini nikaendelee kukata mkaa maisha haya Mimi siwezi, Dar kumejaa mchicha porii
 
Watu wanakuambia hili tatizo ni kubwa Dar, Tanga, Arusha na Znz.

Nimeishi maeneo matatu katika hayo yanayotajwa kama vinara na sikukutana na deals zinazosemwa humu. Hyperbole ni kubwa sana humu.

Hata Dar kuna clubs ukienda kukutana na homo ni kawaida hii ni kwa experience yangu kama mlinzi. Its not like ukifika Dar basi wewe ni kukutana na homos day in day out.

Mfano binafsi pamoja na ulinzi wa klabu na bar nyingi ila nimewahi kua approached na homo 2 tu.

Sasa hivi nipo Tanga lakini hukutani na homos kama mchanga ni mpaka uwawinde.

Talk about hyperbole.
 
Wewe acha tu Mkuu,yaani mpaka wanaume tulianza kuona aibu,Kuna mmama mmoja wa heshima mcha Mungu akauliza Hivi yule kwani Vipi Mungu anisamehe kama namwazia mabaya nikamwambia mama hapo hakuna Cha kumuwazia mabaya Wala Nini lile Choroko Nazi lililokubuhu,
Basi mabazazi ya mnadani yakawa yanapimpigia mluzi na kuongea Lugha za mafumbo hata haimshtui yaani!
Daaaaaa!
Hahahahah wahuni wanapiga 1 na 2
 
Hamna dhambi ambayo siku hizi tuna ishangilia kama ya kumwingilia kinyume na maumbile binti wa kike. Kimaumbile sehemu ya haja ya kubwa na ya mwanamke na mwanaume ni zinafanana kwa kila kitu.

So ukimwingili kinyume na maumbile mwanamke basi kumwingilia shoga ni kazi nyepesi na ndio maana Mungu na mila na desturi zetu wa Afrika zimekataza,waliyajua haya.
 
Back
Top Bottom