Wazazi na ndugu wa mke wangu wananikosesha raha

[emoji23][emoji23][emoji23] Ushauri huu dah!!!. Kweli akili za kuambiwa changanya na zako.
 
Mkuu mkaushie huyu shemeji yako, si unaona ameoa huko kwenu MpwapwaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
hao wanatakiwa asubuhi wakiamka wakukute sebuleni umekaa na boxxer tu na ikiwezekana wakukute unamchakata mtoto wao kwenye kochi.
Mkuu amesema wengine wanalala sebuleni, labda waingie chumbani kwao mapema sana, kisha wapige game moja ya kibabe sana na wasifunge mlango ili sauti zifike vizuri hapo sebleni hadi ziwakere
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ una rafiki wa ovyo huku utapewa ushauri murua
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’”akili zako haziko sawaaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’”ety akakubaliiiiii
 
Wazazi nao wamekuwa hawana aibu . Mnahamia wote kwa binti yenu,sometimes wazazi waangalie na mazingira watoto wao wayoishi,nyumba yenyewe ndogo kwa watu wawili bado mnahamia hapo. Au unakuta kijana mtu mzima anakaa kwa dada yake wanapishana na shemeji sebuleni
 
Hii inategemeana na kabila kwetu ni mwiko kuhamia kwa mkwe unless kuna sababu maalum
 
Chukua mke mkunje usiku mzima peleka moto wakitosha hakikisha anapiga kelele mpk mtaa wa pili wasikie, tumia hata mkongo akikisha umepeleka moto haswa mpaka wakwe wasikie kilio cha mtoto wao
Sasa sindo mama mkwe atakapoomba na yeye show
 
Kama na ww umeshindwa kuwashirikisha wazazi wako basi uhame kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…