Tena bora watoto wa kijijini, hawa wa dotcom ambao tangu wakifika 4 years wanaona watu wananyonyana ndimi kwenye tamthilia, wanafanya practice sana. unawezakuta 50% ya watu walioko humu washawahi fanya uchafu huu na ndugu zao lakini wamekaa kimyaaa kama sio wao vile.
Namshukuru Mungu nilizaliwa kijijini ambako hata kukaa tu pamoja na dada zangu ilikuwa mwiko .wanaume wana sehemu yao ya kukaa, wanawake wana sehemu yao ya kukaa. ukikutwa kwa wanawake utaeleza nini unatafuta huko.
pia, I am the last born, hivyo dada zangu zote wameniacha mbali, na badala ya kukua nao pamoja ktk rika moja, walinizidi mbali kiasi cha kuniletea wajomba niwe nalea wao wakienda shamba. hivyo isingewezekana kabisa kwa umri wao kunirubuni manake nilikuwa mdogo mno kwao.
Ila nimekuwa nikiyaona yanatokea kwenye familia nyingi tu. watoto wenye rika moja wanafanya sana ngono, na hutajua manake utakuwa unafikiri ni upendo wa kaka na dada.