LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
- Thread starter
- #101
Mkuu never on the earth mwanaume alewe kiasi cha kutojitambua halafu afanye sex never ever . Labda alawitiwe Na wahuni lakini sio yeye kufanya chochote. .. Tena bible Ina SEMA Lot was passed out Yani alikuwa amezimia . Toka lini mwanaume alie Lewa kiasi cha kupoteza fahamu anaweza kufanya sex?Mkuu hayo ni mawazo yako lakini Bible haikuandika hayo na kama haitoshi mstari huo huo wa 33 na 35 unaelezea consciousness ya Lutu wakati tendo hilo likifanyika.
Pia Pombe sio jambo la ajabu kuwepo majumban kwa watu, kwan wakat wa Nuhu pombe aliipata wapi?
Hata huyo Nuhu unae msema baadhi ya wananzuoni nguli wasomi WA kiyahudi wanasema alipolewa akakaa uchi Mtoto wake HAMU alivyo MKUTA akiwa uchi alimlawiti na Nuhu alipo gundua kitendo alicho FANYIWA Na Mtoto wake AKAMPA laana.
Mkuu heshima Na utukufu unayo wapa Hao characters WA kwenye Biblia ungewapa wazazi wako Na mababu zako ungebarikiwa Sana.
Kwangu Mimi Mama yangu mzazi ndio mwanamke aliye barikiwa kuliko wanawake wote duniani Na baba Angu ndio baba WA Imani Na mababu zangu ndio watakatifu WA ukweli.
Nime kuatachia Na maelezo kuhusu Noah kulawitiwa Na Mtoto wake Ham.