Wazazi nani kawadanganya watoto wenu wa kike na kiume hawanyanduani?

as a man, hata wewe ukiuona uchi wa dadako huu hapa, utadindisha. labda kama sio mwanaume. wanadamu wameumbwa na dhambi ya asili ambayo tunapambana nayo for therest of our lives. kitakachokusaidia ni conviction moyoni, ila kama una roho ya uovu ndani yako, hata hautajua ni saa ngapi umeshafanya.
Hapana aiseeh labda wengine the fact kwamba mm ni mwanaume haimaanishi lazima nidindishe kwa dadaangu
 
kuna family moja nishawahi ishi nayo.. waligundua mtu na dada ake wanakulana lakini cha ajabu hawakuchukua hatua yeyote.. instead mjomba mtu akawa anawasapoti na cash wakitaka kufanya yao waende lodge .
lakini baada ya kuchunguza nikagundua ni mchezo ambao upo kwenye familia na ishakuwa kama kawaida ndugu kwa ndugu kutembea...
 
Aisee kaka na dada wa tumbo Moja?
kuna family moja nishawahi ishi nayo.. waligundua mtu na dada ake wanakulana lakini cha ajabu hawakuchukua hatua yeyote.. instead mjomba mtu akawa anawasapoti na cash wakitaka kufanya yao waende lodge .
lakini baada ya kuchunguza nikagundua ni mchezo ambao upo kwenye familia na ishakuwa kama kawaida ndugu kwa ndugu kutembea...
 
Kwa MTU ambae yupo timamu kichwani hawezi kufanya hivyo. Lakini Ni ujinga WA Hali ya juu kufikiri kwamba Kwa Sababu wewe huwezi kufanya Jambo Fulani na wengine hawawezi.

Ndio maana sheria zime haramisja mapenzi ya ndugu WA damu Kwa Sababu WaPo watu wanao fanya..

Kwenye Biblia Luthu alilewa pombe akawaingilia binti zake wa kuwazaa mwenyewe kitu ambacho Mimi siwezi hata niwe nimevuta bangi ya Malawi. Ndio maana huwa nasemaga Luthu alikuwa muhuni Tu kama huyo rafiki yangu wa utotoni
Soma vizuri bible, binti zake ndio walimlewesha kisha wakalala naye. Naye hakuwa na ufahamu hayo yakitokea . Soma kitabu cha Mwanzo sura ya 19 mstari ule wa 30 mpaka 36 kisha njoo tena useme uliyoyasema. Nimeweka mistari hiyo kutoka kwa bible hapa:
“30 Lutu akapanda kutoka Soari akakaa mlimani, na binti zake wawili pamoja naye, kwa sababu aliogopa kukaa katika Soari. Akakaa katika pango, yeye na binti zake wawili.
31 Yule mkubwa akamwambia mdogo, Baba yetu ni mzee, wala hakuna mtu mume katika nchi atuingilie kama ilivyo desturi ya dunia yote.
32 Haya, na tumnyweshe baba yetu mvinyo, tukalale naye, ili tumhifadhie baba yetu uzao.
33 Wakamnywesha baba yao mvinyo usiku ule, akaondoka huyo mkubwa akalala naye, wala yeye hana habari alipolala wala alipoondoka.
34 Ikawa siku ya pili, mkubwa akamwambia mdogo, Tazama, nimelala jana na baba yangu, tumnyweshe mvinyo tena usiku huu, ukaingie ukalale naye.
35 Wakamnywesha tena baba yao mvinyo usiku ule, akaondoka mdogo akalala naye, wala yeye hana habari alipolala wala alipoondoka.
36 Basi hao binti wote wawili wa Lutu wakapata mimba kwa baba yao.
37 Yule mkubwa akazaa mwana, akamwita jina lake Moabu; huyo ndiye baba wa Wamoabi, hata leo.”
 
kuna family moja nishawahi ishi nayo.. waligundua mtu na dada ake wanakulana lakini cha ajabu hawakuchukua hatua yeyote.. instead mjomba mtu akawa anawasapoti na cash wakitaka kufanya yao waende lodge .
lakini baada ya kuchunguza nikagundua ni mchezo ambao upo kwenye familia na ishakuwa kama kawaida ndugu kwa ndugu kutembea...
Hizo ndio familia zenye laana
 
Soma vizuri bible, binti zake ndio walimlewesha kisha wakalala naye. Naye hakuwa na ufahamu hayo yakitokea . Soma kitabu cha Mwanzo sura ya 19 mstari ule wa 30 mpaka 36 kisha njoo tena useme uliyoyasema. Nimeweka mistari hiyo kutoka kwa bible hapa:
“30 Lutu akapanda kutoka Soari akakaa mlimani, na binti zake wawili pamoja naye, kwa sababu aliogopa kukaa katika Soari. Akakaa katika pango, yeye na binti zake wawili.
31 Yule mkubwa akamwambia mdogo, Baba yetu ni mzee, wala hakuna mtu mume katika nchi atuingilie kama ilivyo desturi ya dunia yote.
32 Haya, na tumnyweshe baba yetu mvinyo, tukalale naye, ili tumhifadhie baba yetu uzao.
33 Wakamnywesha baba yao mvinyo usiku ule, akaondoka huyo mkubwa akalala naye, wala yeye hana habari alipolala wala alipoondoka.
34 Ikawa siku ya pili, mkubwa akamwambia mdogo, Tazama, nimelala jana na baba yangu, tumnyweshe mvinyo tena usiku huu, ukaingie ukalale naye.
35 Wakamnywesha tena baba yao mvinyo usiku ule, akaondoka mdogo akalala naye, wala yeye hana habari alipolala wala alipoondoka.
36 Basi hao binti wote wawili wa Lutu wakapata mimba kwa baba yao.
37 Yule mkubwa akazaa mwana, akamwita jina lake Moabu; huyo ndiye baba wa Wamoabi, hata leo.”
Soma mstari wa 33 Kwa utulivu wa akili. Mwanaume anaweza kufanya ngono akiwa amelewa hajitambui? Kama kulawitiwa Sawa inawezekana lakini sio yeye kumuingilia mwanamke.

Ili uume wa mwanaume uweze kusimama. Kwanza lazima mwanaume huyo apate wazo la kufanya tendo la ndoa ambalo mara nyingi huletwa na facts kama vile kuyaona maumbile ya mwanamke. Akishapata wazo Hilo mishipa ya fahamu katika Ubongo inatoa ishara kwenye mishipa ya uti wa mgongo ( spinal cords) mishipa ya uti wa mgongo ikipata ishara inatoa taarifa kwenye ateri then ateri zinafunguka Na kutanuka Na hivyo kuruhusu damu kutiririka kwenye misuli ya uume Na kufanya uume kusimama.

The most sensitive sexual organ of a man is the mind. If the mind is not active he cannot have sex.

So Kwa Sababu hiyo Luthu alikuwa anajua anacho kifanya.

Kama ingeandikwa walimnywesha mkuyati kiasi cha kumfanya KUPATWA Na mhemko ambao hakuweza kuuzuia hapo ningekubali lakini useme eti amekunywa pombe akalewa kiasi cha kutojitambua na akafanya sex Na binti zake bila kujua kama anafanya sex Huo ni uongo ambao hata Mungu atakushangaa kama utaukubali.

At least wangesema alikunywa pombe akachangamka na kutokwa Na mshipa WA aibu/haya ningeweza kuamini.

Ni Luthu huyu huyu siku kadhaa kabla ya tukio la KULALA Na binti zake Alisha JARIBU kuwatoa binti zake wawe gang raped ( wapigwe mtungo Na wahuni)

Kunbuka walianza safari ya kusaka Maisha Na baba Ake mdogo ( Ibrahim ) lakini walipo fika Kati Kati ya safari Luthu akachagua kwenda Sodoma.

Sodoma ulikuwa mji WA bata Na anasa huenda Luthu alichagua kwenda Sodoma Kwa Sababu alikuwa MTU wa bata Na anasa.

Hata kitendo cha mabinti zake kufikia uamuzi wa kumnywesha baba Yao pombe ili awapige miti kina prove ishara ya malezi mabovu ya baba Yao plus mazingira yasiyo ya kimaadili ya Sodoma walipo kulia.

Luthu abanwe kende aseme ukweli Tu alikuwa anawamezea mate binti zake tangu Muda mrefu asitake kutufanya hatunywi pombe. Duniani Hakuna pombe ya kukufanya ulale Na binti zako...

Hivi hujiulizi baada ya kugundua kwamba binti zake wamepata mimba alichukua uamuzi Gani? Kwanini hakuzitoa hizo mimba?

Haya hizo skills ZA kutengeneza pombe watoto wa Nabii walizitoa wap ? Ina maana nyumbani Kwa Nabii walikuwa wanapika pombe?

Hizo raw materials ZA kutengeneza pombe walizitolea wapi? Masufuria n.k wakati walikuwa pangoni wamejificha?

Muda mfupi baada ya kujifungua wali olewa Na wanaume wengine Na kuzaa NAO.

Luthu alikuwa anatoka kwenye incestous family (familia ya watu walio fanya mapenzi wakiwa ndugu)

Hata baba mdogo wa Luthu ( Nabii Ibrahim alimuoa Sarah ambae Ni dada Ake walie share baba mmoja ila mama tofauti. ( MWANZO 20:12)

Ndio maana yake walikuwa Na changamoto ya UZAZI Kwa Sababu ya kurithi receptive genes kutoka Kwa baba Yao ( Terah ) ambae Na yeye alikuwa Na changamoto ya UZAZI , ndio maana Ibrahim Na Sarah walipata Mtoto mmoja ( ISAKA) ambae Na yeye alimuoa ndugu yake Rebeka akiwa Na miaka arobaini Na wakapata watoto mapacha YAKOBO Na Essau baada ya miaka ishirini

Mkuu hayo ni mawazo yako lakini Bible haikuandika hayo na kama haitoshi mstari huo huo wa 33 na 35 unaelezea consciousness ya Lutu wakati tendo hilo likifanyika.
Pia Pombe sio jambo la ajabu kuwepo majumban kwa watu, kwan wakat wa Nuhu pombe aliipata wapi?
 
Back
Top Bottom