Wazazi nchini wawaonya vijana wao kutothubutu kushiriki maandamano ya CHADEMA

gentleman,
punguza mihemko tu unapotoa maoni na mapendekezo yako dhidi ya maandamano haramu yaliyoandaliwa na chadema, haina haja ya ghadhabu kwa mwingine, tuwe wangwana na wastahimilivu kidogo katika kupokea maoni tofauti na ya wengine πŸ’
Ikiwa unapinga maandamano basi jua ya kwamba unakubaliana na utekaji na mauji yanayoendelea nchini.
 
Brother hebu soma msg zangu vizuri mimi sijapinga kuandamana
 
Ikiwa unapinga maandamano basi jua ya kwamba unakubaliana na utekaji na mauji yanayoendelea nchini.
Maandamano ya Amani ni rukhsa, hata wakatoliki leo wameandamana kwa Amani sana Taifa...

Ila maandamano ya haramu yenye chuki, fujo, uharibifu na maafa kama hayo ya Chadema ni batili na ni laana πŸ’
 
Kwa kweli kama Abdul kaamua KUANDAMANA #September 23 TO REMEMBER yeye mzazi mwenzako kutishia kulaani kwa kuvua nguo kwenye madhabahu hiyo ya devil kingdom ni ujinga labda mshauri mkazae mwingine hata kwa kupandikiza pale MOI.Kwani shida ni uzazi?
 
Maandamano yatakuja ila hayatakuwa ya CHADEMA.Na siku hiyo Akili za watawala pamoja na polisi wao zitakaa sawa.
 
SAMIA MUST GO, SEPTEMBER 23 TO REMEMBER YES, SHE MUST GO!
 
Sema wazaz wako usitusemee sisi
 
Maandamano ya Amani ni rukhsa, hata wakatoliki leo wameandamana kwa Amani sana Taifa...

Ila maandamano ya haramu yenye chuki, fujo, uharibifu na maafa kama hayo ya Chadema ni batili na ni laana πŸ’
Furugu huletwa na ccm, mfano uchaguzi wa Sombetini Arusha tulishuhudia vijana wa ccm wakikata watu na mapanga yaliyokuwa ndani ya gari aina ya Land Cruiser mkonge akiwemo Merry Chatanda kipindi hicho akiwa katibu wa ccm mkoa wa Arusha na Polisi wakishuhudia pasipo kuchukua hatua.
 
Furugu huletwa na ccm, uchaguzi wa Sombetini Arusha tulishuhudia mapanga yakiwa ndani ya gari aina ya Land Cruiser akiwemo Merry Chatanda kipindi hicho akiwa katibu wa ccm mkoa na Polisi wakishuhudia pasipo kuchukua hatua.
nadhani chini ya huyu mama Dr Samia Suluhu Hassan hiyo itabaki historia, hapata tokea vurugu za uchaguzi tena TzπŸ’
 
nadhani chini ya huyu mama Dr Samia Suluhu Hassan hiyo itabaki historia, hapata tokea vurugu za uchaguzi tena TzπŸ’
Kutekwa Soka na wengine pamoja na kuuliwa mzee Ally Kibao na serikali inajua na imekaa kimya pasipo kuchukua hatua kana kwamba vyombo vya ulinzi na usalama hakuna ndio uvunjivu wenyewe wa amani .
 
Kutekwa Soka na wengine pamoja na kuuliwa mzee Ally Kibao na serikali inajua na imekaa kimya pasipo kuchukua hatua kana kwamba vyombo vya ulinzi na usalama hakuna ndio uvunjivu wenyewe wa amani .
nadhani uchaguzi wa ndani wa chadema ukiisha hayo yote pia yatakua yameisha..

nadhani inafahamika vita ya uongozi ndani ya chadema ilivyo moto na hatari miaka yote kwenye chaguzi zote za ndani..

nawaombea uchaguzi wa nafasi za juu hatari sana umalizike salama na kwa amani πŸ’
 
SAMIA MUST GO, SEPTEMBER 23 TO REMEMBER YES, SHE MUST GO!
pamoja na kukaidi mawaidha, makatazo na ushauri wa wazizi,

bila shaka uchungu wa mwana aujuae mzazi huko mahabusu ukiwa huwezi hata kutembea watakuja kuwapa pole kwa kukubali kurubuniwa kifikra na wanasiasa na kukubali kushiriki maandamano haramu ya Chadema πŸ’
 
CHADEMA hawana shida yakuandama shida ni hao watakaouwawa kwenye maandamano ndio shida . Vijana angalieni maisha yenu
 
CHADEMA hawana shida yakuandama shida ni hao watakaouwawa kwenye maandamano ndio shida . Vijana angalieni maisha yenu
umeongea kwa uwazi na uchungu jambo la maana, zito na muhimu sana la kitaifa dah!

akili kumkichwa πŸ‘Š
 
Maisha kwanza ujinga hakuna watu wanakufa ovyoo watoto, vijana , watu wazima wewe Mungu anakupa uhai unaupeleka kwenye maandamano akili zenu msinywe kahawa tumieni
 
sasa mzazi wako amekukatia tamaa kwa sababu kiburi, udokozi, jeuri, ukaidi wako na uvivu wako,

na wamekukanya na kukuonya sana huachi tabia hizo na husikii hiyo ni juu yako sasa
We na Lucas akili moja. Sasa we mzazi sawa umenipa chakula umenisomesha. Je ni sawa nitekwe niuwawe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…