Wazazi nchini wawaonya vijana wao kutothubutu kushiriki maandamano ya CHADEMA

acha kuendekeza uongo, upotoshaji, ubishi na ubinafsi gentleman,

vitakutokea puani ukiwa pekeyako na majuto mengi huku mzigo wa kukuuguza na kukulea kwa kukaidi wako wa kupuuza wazazi.. chadema hawatakujua wala hata kukujali..

na kwajinsi walivyo wanaweza hata kusingizia kwamba majeraha ulionayo aidha umeanguka na bodaboa au kipigo ulichokipata baada ya kua umefumaniwa na mke wa mtu, kumbe maskini ya Mungu ulikaidi mawaidha ya wazazi ukajichanganya kwenye maandamano haramu ya Chadema aise dah πŸ’
 
mwishoe tutaishia kama ya kenya.
ambapo kuna vijana hawana miguu, wengine ni mapengo na wengine nyonga na taya havielewani na wako mahospitalini mpaka leo mzigo kwa wazazi dah,
na hakuna manufaa zaidi wamepata wala nafuu..

infact,
wamepata maumivu makali zaidi dah..

huruma yako iko wap dunia 🀭
 
Wazazi wa Jumuiya ya Wazazi CCM?
Ni wazazi wazalendo, wenye uchungu na vijana wao wanaotaka kurubuniwa na kutumika kisiasa kwa manufaa ya wanasiasa na familia zao kwenye maandamano haramu ya Chadema πŸ’
 
Wiki nzima umelala na boksa kichwani.

Subiri kukuche ndo utajua maana ya SAMIA MUST GO
 
Pole sana Mzazi, umeongea kwa uchungu sana..

vyama hivi vilivyo kosa uelekeo vinaharibu sana vijana hasa hao ulosema hawana ajira,

na wazazi mara zote wamewaita vijana hao kurudi vijijini kwao kwasabb wamewaandalia viwanja vya kujenga nyumba na mashamba ya kulima kule, lakini wao wameng'ang'ania mijini huku wakiwa hawana mbele wala nyuma na shule wamemaliza...

ndio maana baadhi yao wanarubuniwa kirahisi sana na wanasiasa na kuna wengine hivi sasa ni walemavu baada ya purukushani za maandamano haramu yaliyokua yakiandaliwa na hawa hawa chadema πŸ’

ukaidi wao unawafanya kutojifunza
 
Wiki nzima umelala na boksa kichwani.

Subiri kukuche ndo utajua maana ya SAMIA MUST GO
artist bana,
umekurupukia kutoka wap kwanza 🀣

wewe utatokea upande gani siku hiyo ili nijue kabisa mahabusu ya kukutembelea huku ukiwa umeteguliwa uno kwenye songombingo za maandamano haramu?πŸ’

kwenye kutoka ndruki nakukubali sana artist..
 
Mzazi yuko sahihi, mwenyekiti wao alisema peupe, walivyoona kimenuka yeye alienda ishi Dubai, mwingine akaenda Canada na mwingine akaenda Belgium.

Sasa wewe unga unga na kapuku kama Mimi misingi ya nchi ikiharibika utaenda wapi?

Rais wa awamu fulani alishawahi kusema, akili za kuambiwa changanya na zako
 
Bila ya kuwepo haki, hayo maombi yenu kazi bure.
maombi yote ya wenye Imani thabiti yaelekezwe kwa Mungu Pekee,

ushirikina wako na ramli zako baki nazo huko huko gentleman πŸ’
 
Hiyo mzazi atakuwa mama Abdu, nimeona wazazi wengine wakiwaambia watoto wao wasiendelee kuwa makondoo vinginevyo wote wataisha.
 
maombi yote ya wenye Imani thabiti yaelekezwe kwa Mungu Pekee,

ushirikina wako na ramli zako baki nazo huko huko gentleman πŸ’
Usitegee udhulumu watu na kuwanyima haki zao
halafu Mungu akupe Amani, kama mnataka amani acheni dhulma.
 
vijana hawayajui haya mambo ya ulaghai wa fikra ya hawa jamaa,

na kwa uchungu ule wa wazazi, maana yake wanajua vijana wao wanarubuniwa na viongozi walio andaa maandamano haramu ya Chadema πŸ’

umekumbusha jambo muhimu sana vijana wanapaswa kulifahamu gentleman πŸ‘ŠπŸ’ͺ
 
Usitegee udhulumu watu na kuwanyima haki zao
halafu Mungu akupe Amani, kama mnataka amani acheni dhulma.
wazazi wenye Imani thabiti wanamtegemea Mungu pekee na ndio maana wanawakingia kifua watoto wao ambao ni zawadi kutoka kwa Mungu,
wasitumbukie kwenye dimbwi la kihalifu la maandamano haramu ya Chadema,

sio huo ushirikina na ramli zako gentleman πŸ’
 
Hiyo mzazi atakuwa mama Abdu, nimeona wazazi wengine wakiwaambia watoto wao wasiendelee kuwa makondoo vinginevyo wote wataisha.
manundazi na makaidi, jeuri na wenye viburi baadhi yao ni walemavu na chadema haiwajui kwamba walipata matatizo hayo kwa kushiriki maandamano yao haramu huko nyuma....

kukwepa mzigo huo tena wazazi wanawakanya na kuwaonya vijana wao kutoshiriki maandamano haramu ya Chadema πŸ’

kwa wakaidi ni juu yao, watatembelewa mahabusu na huko hospital pia πŸ’
 
W

Learn to be positive acha kuishi Kwa wasiwasi kijanaa... yeyote anayevunja Sheria anastahili kuchukuliwa Sheria kikamilifu avae kijani,avae gwanda,awe na cheo ama awe kiboko ya wachawii😁
so,
are you negative or positive to the motion gentleman?🀣

tuanzie hapo kwanza kabla hatufumania Tatizo lako la msingi πŸ’
 
Ni wazazi wazalendo, wenye uchungu na vijana wao wanaotaka kurubuniwa na kutumika kisiasa kwa manufaa ya wanasiasa na familia zao kwenye maandamano haramu ya Chadema πŸ’
Massawe bana, una vituko sana
 
Kama nikweli huyo mzazi hajitambui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…