Wazazi nchini wawaonya vijana wao kutothubutu kushiriki maandamano ya CHADEMA

ccm wanaharibu amani ya nchi waziwazi na kwa makusudi halaf wengine wahangaike kuwaombea, maandamano vijana tupo mstari wa mbele kabisa wazazi watulie kwanza
 
Hao watakuwa siyo wazazi bali mazwazwa ambayo yanaona ufahari watoto wao kutumikishwa kama manamba!
 
mkagueni vizuri huyo mzee wa kanisa ndani ya shati atakuwa na t-shirt ya ccm
 
Hao watakuwa siyo wazazi bali mazwazwa ambayo yanaona ufahari watoto wao kutumikishwa kama manamba!
ni vizuri ukawadhihaki na kuwakejeli vizuri wazazi hao kwa kirefu zaid uliujizolee laana na mikosi ya kutosha zaidi gentleman,

ili wadau waelewe ukaidi, kiburi, jeuri na mwenye dharau zaidi kwa wazazi wanaokanya vijana wao kutothubutu kushiriki maandamano haramu ya Chadema πŸ’
 
Wazazi kamili wanapenda kuona watoto wao wanakuwa vijana jasiri wanaopinga dhuluma na unyanyasaji na siyo vijana midebwedo kama wewe!
 
Kwayoyote atakaependa kuandamna namuunga mkono
jambo la maana zaidi ni kuzingatia mawaidha ya wazazi dhidi ya vijana wao kushiriki maandamano haramu ya Chadema, hilo ndilo la muhimu sana πŸ’
 
Wazazi kamili wanapenda kuona watoto wao wanakuwa vijana jasiri wanaopinga dhuluma na unyanyasaji na siyo vijana midebwedo kama wewe!
kama kushiriki maandamano haramu, fujo, uharibifu na pengine maafa ndio ujasiri, basi ni vijana makaidi na wenye viburi vya kutokuskiza wazazi woa, na wengi hivi sasa ni majambazi...

vijana wa chache kama hao wapo, na ni kama wewe jinsi unavyojidhihirisha ukaidi wako kwa wazazi washauri kwa vijana πŸ’
 
kwani wale wanaotekwa na kuuwa hawana wazazi cyo mbona hujawahi sema kuhusu
jambo la maana sana lililoko mbeleni ni maandamano haramu ya Chadema,

ambayo wazazi nchini wamedinda kabisa kuwaruhusu vijana wao kushiriki jambo hilo haramu..

mambo mengine nadhan yaibuliwe kwenye majukwaa mengine πŸ’
 
hata ngorongoro mliwaandaa wamasai feki kwenye tv lakini mwisho wa siku kiliumana serikali ya ccm ikaufyata
 
jambo la maana zaidi ni kuzingatia mawaidha ya wazazi dhidi ya vijana wao kushiriki maandamano haramu ya Chadema, hilo ndilo la muhimu sana πŸ’
Hao wazazi wawili ndo wamewakilisha wazazi wote? Nani kawatuma?
Mimi pia ni mzazi, sijamtuma mtu aniseemee ya moyoni
 
hata ngorongoro mliwaandaa wamasai feki kwenye tv lakini mwisho wa siku kiliumana serikali ya ccm ikaufyata
nadhani mawaidha ya wazazi wa vijana ni muhimu zaidi kulikoni mihemko na makasiriko dhidi ya mambo mengine...

wazazi wamewakanya vijana wao kutokushiriki maandamano haramu ya Chadema, ubaya uko wapi watu wanatetea watoto wao?πŸ’
 
ni vizuri kujizuia kuzoa laana na mikosi kwa kukaidi au kudharau mawaidha ya wazazi bila sababu za maana πŸ’
Ni mawaidha mangapi ulipewa na wazazi wako hadi sasa na hujatekeleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…