Familia nyingi sana!
Watoto wanaishi kwa masikitiko!
Kila Siku mama au baba anatoka kwenda kazini! Huku watoto hasa wale ambao hawajaanza shule wakibaki kulilia safari!
Kibaya zaidi watoto hawa wadogo 1yr to 3yrs wanauwezo mkubwa wakujua vazi la mama au baba la kushindia nyumbani na lile la mtoko!
Yaani vile utakavyovaa baada ya kuoga, mtoto anauwezo mkubwa wa kujua kama unatoka out au lah!
Hata kama huna pesa mzazi kumbuka kutoka na watoto wako Mara moja moja hata mnyooshe miguu mzunguke then mrudi nyumbani!
Watoto wengi sana wanapenda mtoko ndiyo maana hulia sana wanapoachwa!
Kushinda ndani tu kama panya ni kazi ngumu sana!
Hata akili wanadumaa wanakuwa kama kuku wa kizungu!