Wazazi tumefeli wapi katika malezi ya watoto wa "2000" tujisahihishe

Hapana si sawa mkuu. Kwa sisi waafrika tunaishi katika falsafa ya ujamaa. Watoto wako ni watoto wangu. Binti wa mwenzako anaweza kuja mke wa kijana wako so ukihangaika na binti huyo unaweza kuwa unahangaika na mwanao wa kiume indirectly.
Ujamaa ulishashindwa labda wewe unaishi kwenye ndoto.
 
Pornography ni chanzo kikuu. Wengi wao wamekuta mitandao ipo moto. Kila mmoja ana simu . Hivyo wanajaribu kufanya wanachokiona. Japo hata Hawa wa 1993..... Nao wanapenda kujaribu mlango wa nyuma. Haya nilishuhudia mara moja. Ndipo nikajua Kuna wanawake wanataman wajaribu.ilikuwa 2015. Bint ana UMRI WA 21..AKANIAMBIA tufanye nyuma. .. nilishindwa kumtimizia haja yake..tuliachana akaolewa..sijui aliko huko kama alitimiza haja yake au lah!
 
Sanaa ya muziki imewaharibu hawa watoto wa buku 2000
 
Ndio mana zilifungiwa
 
Nilikuwa najiuliza sana kuhusu kwanini wanaume walio wengi wanapenda makalio makubwa kumbe kwa sababu ya ushetani daah
Na Makalio makubwa hayana Faida Yoyote Basi tu, wadada wengi wenye kalio kubwa hawaolewi kila mwanaume anaogopa
 
Shida ni wazazi, wameona na maadili ni ushamba, tunaenda na wakati, kwani si unaona mtoto wa kike alizaliwa mpka anakuwa havalishwi magauni tena, ni mwendo wa vipenzi, na vitaiti, mzazi anampa simu mwanae wakati fika anajua kwenye hiyo simu kuna mambo machafu, na watoto wajanja atajifanya anacheza game kumbe anaangalia vingine, kwahiyo shida ni sisi wazazi tunawaexpose watoto kwenye hayo mazingira, shida nyingine iko kwa wanaume wanapenda kula nyuma, nikuambie tu wewe mwanaume ukila nyuma laana hiyo inamrudia mtoto wako, kama sio mtoto hata mjukuu, ngoja nikupe ushuhuda huu.

Kuna Baba mmoja wa kichaga alikuwa na mchezo wa kumuingilia ng'ombe sehemu yake ya haja, kwa sababu ilikuwa ngumu na isingewezekana kumuomba mkewe, mke wake akagundua huo mchezo wakawa wanakorofishana kwa sababu ngo'mbe alikuwa anatoa maziwa mabaya, sasa yule Babu na huyo mkewe walishakufa ila mjukuu wao wa mwisho wa kiume ana michezo ya kishoga, ninninazungumzia miaka ya 80 huko maana mjuu mwenyewe saizi ana 40's saizi.

Mwanaume uwe na uhakika na usione fahari hilo jambo litakurudia tu na litakuumiza mara mbili, utashangaa mwanao wa kiume anapumuliwa na ukikumbuka hutakuwa na la kufanya
 
Ni kweli,ila jaribu kuchunguzaaa chanzo cha kwanza ni mzazi na cha pili jamiii na cha tatu marafiki .Mtoto anashuhudiaa ugomvii wa wazazi wake ,anashuhudiaa vitu ambavyo kwa umri wake sio vya kuonaa lazimaa somehow hashawishikii na ulaghai wa vitu na kuzama kwenye dumbwi la Uovu "Cha msingi ni wazazi maugomvi suluhishieni ndani,tabiaa zako mbaya jitahidien mtoto asione tunaharibu kizazi bora cha kesho
 
AMEN
 
AMENI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…