Jamaa Fulani Mjuaji
Senior Member
- Jul 25, 2020
- 155
- 278
- Thread starter
- #101
Ndio mana naogopa kupeleka mtoto hizo shule za girls pekee hata wa ndugu Yangu tuWatoto wakiwa shuleni wanafundishana ujingaa yaani ni hivi kwa mfano shule za galz huwa wanakaa na kuanza kusimuliana the way wanavyotongozwa na wanaume wa rika mbalimbali,
na namna wanavyojihusisha na ngono pamoja nao na wanaelekezana staili na mengine mengi nadhani membaz wa kike watakuja kutoa ushahidi kwa wale waliosoma shule za galz tupu aidha advans au olevo