Wazazi tumefeli wapi katika malezi ya watoto wa "2000" tujisahihishe

Wazazi tumefeli wapi katika malezi ya watoto wa "2000" tujisahihishe

Watoto wa 2000 Kama wanavyoitwa ni watoto ambao wazazi wqoo ni kile kizazi ambacho kwa sehemu kubwa walikuwa wanakula Ada wakati ule wanasoma. Ni watu ambao usimamizi na kujali mambo yao na wengine ilikuwa ni mtihani. Wakazaa watoto wakaacha wakue na si kuwalea. TV zzimellea sana watoto na ndio hawa tunaowaita wa 2000
Kizazi kimepoteza muelekeo
 
Sijajua tuseme kwamba takriban watu wote hawana akili, kwa sababu ukifikiria kwamba viongozi na mapihechdii ndio wako mstari wa mbele kwenye hilo janga, unabaki mdomo wazi.

Halafu kuna wale ambao ni seemingly innocent wanaojitosa kwenye hizo sodomagomora, siyo kwa kupenda, bali, kwa mujibu wao wenyewe, ili ^kuzinusuru^ ndoa zao
Hii inafikirisha sana
 
Wanajukwaa Nakuja Hapa kwa Moyo Mzito Sana Na Umejaa Majonzi Makali Mno Hasa Watoto wa Kike kwa Kizazi Hiki Cha 2000.

Mabinti wengi Karibia 85% waliozaliwa 2000 Wameshaharibika naongea nikiwa na ushahidi Tosha na Asilimia Yote hiyo mabinti wanatumia "LAINI MBILI" au "WANAPIGA MIGUU YOTE" tena bila aibu na wengi wameshazoea na kama Kijana wa kiume kama haupigi Miguu Yote au Ukiwa kijana unatumia Laini Moja wanakushangaa Sana na kuonekana Mshamba.

Nimekua nikifanya "Uspy" kujua nini Hasa Kimesababisha Kadhia Hii kwa kiasi Kikubwa ni KUKOSA MALEZI BORA ya Wazazi Pia Sababu Nyingine ni Kutamani Maisha Matamu Haraka Bila kufanya kazi na wengi hawayapati hayo maisha matamu wanaishia "KUUMIZA DEVICES ZAO".

Imefika wakati wanasema Wazi wazi mimi NAPIGA MIGUU YOTE we kama una Hela Sema na Ukimuangalia unaona Bado Mdogo sana unamuonea Huruma

UNADHANI NINI KIFANYIKE ILI ANGALAU KUMALIZA HII KERO KABISA NA HAKIKA INAWEZEKANA.
Watoto wakiwa shuleni wanafundishana ujingaa yaani ni hivi kwa mfano shule za galz huwa wanakaa na kuanza kusimuliana the way wanavyotongozwa na wanaume wa rika mbalimbali,

na namna wanavyojihusisha na ngono pamoja nao na wanaelekezana staili na mengine mengi nadhani membaz wa kike watakuja kutoa ushahidi kwa wale waliosoma shule za galz tupu aidha advans au olevo
 
Ndio maana kila siku nawaambia hakuna haja ya kujistress kulipa mamilioni shule za Ems wakati kizazi chenyewe ndio hiki.

Haya sasa twende kazi. Haraka sana toa watoto wako shule za Ems warejeshe Kayumba.

Thank me later.

🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
Wazazi wamewekeza muda kutafuta oesa kwa ajili ya familia, huku hizo familia zikiharibika
Nakubaliana na wewe na Mzazi anajali sana mtoto kuangalia TV mbona sisi tulikua tu bila TV na maisha yalisonga na unabaki hime unasubiri mama arudi bila Tv na hakuna kwenda kucheza mbali.
 
Ndio maana kila siku nawaambia hakuna haja ya kujistress kulipa mamilioni shule za Ems wakati kiasi chenyewe ndio hichi.

Haya sasa twende kazi. Haraka sana toa watoto wako shule za Ems warejeshe Kayumba.

Thank me later.

🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Better umtrain Home mwenyewe kama Tatizo ni English
 
Back
Top Bottom