Wazazi tusiache kusomesha watoto wa kike

Wazazi tusiache kusomesha watoto wa kike

To yeye

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
35,686
Reaction score
86,968
Nadhani mmeona wenyewe mambo aliyofanya ASHRAF HAKIMI na wanaume pia baadhi ya wanawake wanavyofurahia alichokifanya.

Mwanaume anamdharau mwanamke anamthamini mama yake. Yaani anamthamini aliyemzaa anamdharau aliyemzalia, namaanisha anamdharau mama anamweshimu mama, nadhani mmenielewa.

Kiufupi si wanawake tu hawajui wanataka Nini bali hata baadhi ya wanaume hawajui wanataka Nini.

Tusomeshe wanetu wa kike wawe na Kazi zao Ili wawe na Kazi wakiolewa mabwana zao wakiwachoka na kuwapa talaka wasiangaike na kumdhalilishwa kama hivi anabaki na Kazi yake na watoto wake.

Wanaume mnachukulia poa hili lakini ndo linaenda kuharibu mfumo mzima wa maisha ya ndoa. Kila mtu kwenye ndoa atakuwa busy kutafuta Mali yake alinde heshima yake.

Wanawake watazaa watasomesha huku wao wakijua mwanangu hata akioa mke Mali hazimuhusu.😭😭😭😭😭 Ee Mwenyezi Mungu kitetee kizazi chako.

Dunia ndo inaharibika, yaliyotabiriwa yanatimia yote. Aisee upendo hakuna tena.
 
IMG_5601.jpg
 
Wanawake someni,pateni maarifa kisha mtafute mali zenu mziandike majina yenu.nao waandike ya mama yao yaishe.hutakuja kuumia kwa ujinga
Mentality ya kukaa kibarazani kusubiri baba watoto alete imepitwa.
Someni mpate maarifa hata ikitokea anataka kukudhulumu labda sababu umemzidi utajua naman ya kupambania chako!
 
Wanawake someni,pateni maarifa kisha mtafute mali zenu mziandike majina yenu.nao waandike ya mama yao yaishe.hutakuja kuumia kwa ujinga
Mentality ya kukaa kibarazani kusubiri baba watoto alete imepitwa.
Someni mpate maarifa hata ikitokea anataka kukudhulumu labda sababu umemzidi utajua naman ya kupambania chako!
Yaan wanawake waamke
 
Nadhani mmeona wenyewe mambo aliyofanya ASHRAF HAKIMI na wanaume pia baadhi ya wanawake wanavyofurahia alichokifanya....
Mwanaume anamdharau mwanamke anamthamini mama yake....Yaan anamthamini aliyemzaa anamdharau aliyemzalia.....namaanisha anamdharau mama anamweshimu mama....nadhani mmenielewa....kiufupi si wanawake tu Hawajui wanataka Nini Bali hata baadhi ya wanaume Hawajui wanataka Nini.
Tusomeshe wanetu wa kike wawe na Kaz zao Ili wawe na Kaz wakiolewa mabwana zao wakiwachoka na kuwapa talaka wasiangaike na kumdhalilishwa kama ivi anabaki na Kaz yake na watoto wake
Wanaume mnachukulia poa hili lakini ndo linaenda kuharibu mfumo mzima wa maisha ya ndoa...Kila mtu kwenye ndoa atakuwa busy kutafuta Mali yake alinde heshima yake.
Wanawake watazaa watasomesha huku wao wakijua mwanangu hata akioa mke Mali hazimuhusu.😭😭😭😭😭 Ee Mwenyezi Mungu kitetee kizazi chako.Dunia ndo inaharibika....yaliyotabiriwa yanatimia yote.Aisee....upendo hakuna tena
Hakimi amefanya hayo ili kuepuka kuibiwa mali zake kijanja na huyo tapeli, ila watoto atatunza tu.
 
Back
Top Bottom