Wazazi tusiache kusomesha watoto wa kike

Wazazi tusiache kusomesha watoto wa kike

Habari ndio hiyo, sasa hivi wanawake wasome wafuate ndoto zao wafanye kazi au biashara wanazozitaka, hakuna tena kufuata ndoto za mume

Kila mtu awe busy kutafuta pesa zake, mwanamke hata akiondoka asubuhi na kurudi usiku hatakiwi kuulizwa wala kulalamikiwa sababu naye anatafuta pesa zake, ili mwisho wa siku wakiachana naye awe na chake asidai cha mumewe

Na wanaume waache kelele za oo mke wangu hanipikii hanifulii hanipetipeti wala hanijali kama anavyowajali watoto, maana kumbuka naye yuko busy kama wewe anatafuta pesa zake, hapo ndoa ndio zitakuwa rahisi
 
Gold diggers katika ubora wenu
So many men have been leaving comments and replies like “i would’ve done the same thing.. gold diggers need to learn a lesson”
besides the obvious misogyny.

These men really need to get a grip and face reality.. you are broke..there is no gold to dig🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Habari ndio hiyo, sasa hivi wanawake wasome wafuate ndoto zao wafanye kazi au biashara wanazozitaka, hakuna tena kufuata ndoto za mume

Kila mtu awe busy kutafuta pesa zake, mwanamke hata akiondoka asubuhi na kurudi usiku hatakiwi kuulizwa wala kulalamikiwa sababu naye anatafuta pesa zake, ili mwisho wa siku wakiachana naye awe na chake asidai cha mumewe

Na wanaume waache kelele za oo mke wangu hanipikii hanifulii hanipetipeti wala hanijali kama anavyowajali watoto maana kumbuka naye yuko busy kama wewe anatafuta pesa zake hapo ndoa ndio zitakuwa rahisi
Kupikiwa kutakuwepo kwani? Ndoa ndo zinaenda kuharibika
 
Back
Top Bottom