Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
sawasawana bado ana utajiri wa mamilioni ya dola hiyo 50/50 ya nini 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawasawana bado ana utajiri wa mamilioni ya dola hiyo 50/50 ya nini 😂
Broke like hakimi [emoji23][emoji23][emoji23]So many men have been leaving comments and replies like “i would’ve done the same thing.. gold diggers need to learn a lesson”
besides the obvious misogyny.
These men really need to get a grip and face reality.. you are broke..there is no gold to dig[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwan haiwezekani?wameanza kudate jamaa ana miaka 19 dem 31....kuna mapenzi hapo??
inawezekana😂 hii hoja nakubali haina uzito
Tukiwapenda wababu mnakuja tena tunataka mali, sijui mpoje nyieinawezekana[emoji23] hii hoja nakubali haina uzito
nakubali hiyo hoja ni ya kijinga, lakini huo mgawanyo wa mali unaona ni sawa?? ikiwa ndoa yao ni ya miaka 3 tu, na huyo mwanamke ni tajiri pia??
Ingekua ndoa ya miaka mingapi ndio ingekua sawa?nakubali hiyo hoja ni ya kijinga, lakini huo mgawanyo wa mali unaona ni sawa?? ikiwa ndoa yao ni ya miaka 3 tu, na huyo mwanamke ni tajiri pia??
😀😀😀😀😀Wanawake wanataka mtoto kama Ashraf Hakimi lakini wanataka Mume asiwe kama Ashraf Hakimi🤣
Ngoja nikamuombe mama smartphone yake nije nijibu hichi unacholilia ila wewe umeolewa kama umeolewa andika Mali zako watoto wako ujanyimwa acha mihemukoNadhani mmeona wenyewe mambo aliyofanya ASHRAF HAKIMI na wanaume pia baadhi ya wanawake wanavyofurahia alichokifanya.
Mwanaume anamdharau mwanamke anamthamini mama yake. Yaani anamthamini aliyemzaa anamdharau aliyemzalia, namaanisha anamdharau mama anamweshimu mama, nadhani mmenielewa.
Kiufupi si wanawake tu hawajui wanataka Nini bali hata baadhi ya wanaume hawajui wanataka Nini.
Tusomeshe wanetu wa kike wawe na Kazi zao Ili wawe na Kazi wakiolewa mabwana zao wakiwachoka na kuwapa talaka wasiangaike na kumdhalilishwa kama hivi anabaki na Kazi yake na watoto wake.
Wanaume mnachukulia poa hili lakini ndo linaenda kuharibu mfumo mzima wa maisha ya ndoa. Kila mtu kwenye ndoa atakuwa busy kutafuta Mali yake alinde heshima yake.
Wanawake watazaa watasomesha huku wao wakijua mwanangu hata akioa mke Mali hazimuhusu.😭😭😭😭😭 Ee Mwenyezi Mungu kitetee kizazi chako.
Dunia ndo inaharibika, yaliyotabiriwa yanatimia yote. Aisee upendo hakuna tena.
Hakuna bhanaHata akiwa na pesa kiasi gani bado atataka apate na pesa za mwanaume ambazo hajatolea jasho hapo ndipo shida inapo anzia,pesa zangu na Mali zangu bora nimpe mama azifanye chochote anacho taka ni sawa tuu, sasa ni mwendo wa kuwa hakimi mwanzo mwisho