Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haja inaweza isiwepo ndiyo ila pengine ndo utaratibu wao waliojiwekea kabla ya kupata mtoto, so lengo laweza kuwa lilikuwa ni kujenga familia pekee habari za kumuamini mwenzako ni nyingine.Huna haja ya kuishi na mtu usiyemwamini
Halafu nikuambie hii inafanywa na wanaume wengi sana sema tuu sio maarufu maana kwa sasa hamna upendo na kilichotokea hichi picha inayokuja ndoa itakuwa kazi sana kwa kifupi hamna cha bure wewe angalia hata diamond platinum anavyofanya ndio utanielewe🤣🤣🤣🤣🙌 Mwee
sasa 50% ni kidogo aisee.....Mpe talaka aende ....mgaie Mali kidogo aende
Sahivi ndoa hazina umuhimu kabisaHalafu nikuambie hii inafanywa na wanaume wengi sana sema tuu sio maarufu maana kwa sasa hamna upendo na kilichotokea hichi picha inayokuja ndoa itakuwa kazi sana kwa kifupi hamna cha bure wewe angalia hata diamond platinum anavyofanya ndio utanielewe
MakasirikoooNadhani mmeona wenyewe mambo aliyofanya ASHRAF HAKIMI na wanaume pia baadhi ya wanawake wanavyofurahia alichokifanya.
Mwanaume anamdharau mwanamke anamthamini mama yake. Yaani anamthamini aliyemzaa anamdharau aliyemzalia, namaanisha anamdharau mama anamweshimu mama, nadhani mmenielewa.
Kiufupi si wanawake tu hawajui wanataka Nini bali hata baadhi ya wanaume hawajui wanataka Nini.
Tusomeshe wanetu wa kike wawe na Kazi zao Ili wawe na Kazi wakiolewa mabwana zao wakiwachoka na kuwapa talaka wasiangaike na kumdhalilishwa kama hivi anabaki na Kazi yake na watoto wake.
Wanaume mnachukulia poa hili lakini ndo linaenda kuharibu mfumo mzima wa maisha ya ndoa. Kila mtu kwenye ndoa atakuwa busy kutafuta Mali yake alinde heshima yake.
Wanawake watazaa watasomesha huku wao wakijua mwanangu hata akioa mke Mali hazimuhusu.😭😭😭😭😭 Ee Mwenyezi Mungu kitetee kizazi chako.
Dunia ndo inaharibika, yaliyotabiriwa yanatimia yote. Aisee upendo hakuna tena.
Ndio vizinga haviwezi kuisha sababu wanaume bado mnataka kupikiwa kufuliwa na kupetiwapetiwa kama watoto, anzeni kujifanyia hayo wenyewe muone kama wanawake nao wataendelea na vizinga, kila mtu ajitegemee na ajifanyie mambo yake simple tu
Kwamba hujui mwanamke akibeba mimba anapata niniSawa, Hakimi anapata mshahara kwa kuwakaba hao kina Benzema, huyo mwanamke anapata nini kwa majukumu yake
sasa kulea watoto anatakiwa alipwe??Sawa, Hakimi anapata mshahara kwa kuwakaba hao kina Benzema, huyo mwanamke anapata nini kwa majukumu yake
Kwani wanaotafuta dada wa kazi nyumbani ni nani, kutembea na wadada hiyo ni tabia tu ya mtu sio wote wanatoka na beki3Sasa mbona wakifanya wadada wa kazi mnalalamika kuwa kazi zote wameachiwa wao hadi kufikia hatua ya ninyi kutembea na hao wadada