Wazazi tusiache kusomesha watoto wa kike

Wazazi tusiache kusomesha watoto wa kike

Huyo kijana Ni muhuni wa Africa,ana kale ka uchoyo ka wanaume zetu,kamseduce dada wa watu na pesa zake kumbe kashazikatia bima!Kweli they call it Africa we call it home
we utakubali kugawana na mwanaume 50/50 baada ya kuachana??
 
Huyo aliyekuwa anataka kugawiwa Mali na Hakim ana kazi na Hela nyingi tu lakini Kwa kuwa mwanamke kaumbwa ubinafsi na roho mbaya akawa anataka na za mwenzie
 
Nadhani mmeona wenyewe mambo aliyofanya ASHRAF HAKIMI na wanaume pia baadhi ya wanawake wanavyofurahia alichokifanya.

Mwanaume anamdharau mwanamke anamthamini mama yake. Yaani anamthamini aliyemzaa anamdharau aliyemzalia, namaanisha anamdharau mama anamweshimu mama, nadhani mmenielewa.

Kiufupi si wanawake tu hawajui wanataka Nini bali hata baadhi ya wanaume hawajui wanataka Nini.

Tusomeshe wanetu wa kike wawe na Kazi zao Ili wawe na Kazi wakiolewa mabwana zao wakiwachoka na kuwapa talaka wasiangaike na kumdhalilishwa kama hivi anabaki na Kazi yake na watoto wake.

Wanaume mnachukulia poa hili lakini ndo linaenda kuharibu mfumo mzima wa maisha ya ndoa. Kila mtu kwenye ndoa atakuwa busy kutafuta Mali yake alinde heshima yake.

Wanawake watazaa watasomesha huku wao wakijua mwanangu hata akioa mke Mali hazimuhusu.😭😭😭😭😭 Ee Mwenyezi Mungu kitetee kizazi chako.

Dunia ndo inaharibika, yaliyotabiriwa yanatimia yote. Aisee upendo hakuna tena.
Nyinyi ndo mmeiharibu hii dunia kwa kiasi kikubwa jpo c wte ila usisahau mama yake Hakimi pia ni mwanamke
 
Back
Top Bottom