Wazazi tusiache kusomesha watoto wa kike

Sawa nimeelewa mkuu, tusomeshe tu watoto wawe na Kaz zao ambzo hata wasipopewa huduma na mwanaume ztawasitiri kidogo
Mleta mada kusomeshwa wanasomeshwa, tatizo tamaa mbele, na binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Mleta mada kusomeshwa wanasomeshwa, tatizo tamaa mbele, na binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Ndo maana nimesema hata wasipopewa huduma at least Kaz itaendelea kuwasitiri japo kidogo
 
Wanawake bhana.

Naona wengi humu wanaangalia upande wa yule mke, ila hawavai viatu vya Yule mama. ( Hapa inazua maswali mengi )

Sasa najiuliza je yule mama wa Hakim Ashraf yeye sio mwanamke?
Nae ni mwanamke mkuu....na Ile ilikuwa ni ndoa
 
🤣🤣🤣Full kuviziana
 
Wanaume wanachekelea saiv ila ndo furaha ya single mothers ilipo mtoto akikua anamuamini zaidi Mama yake kuliko Baba yake
 
HAKIMI Angekua ndo kaomba talaka,
Ungekua sahii, ila kwasababu MKE ndo kaomba, Tena Bila kukumbuka watoto kakimbilia kwny Mali, Bila shaka alistahili alichopata[emoji4]
 
Kabisa....Kwa ubinafsi huu🤔
Ila kuomba talaka na kutaka kugawiwa mali sawa kwa sawa huoni kuwa nao ni ubinafsi?

Huoni hapo lengo la kuolewa,lilikuwa ni kuzivizia mali za mwanaume,hapo mbinafsi na nani sasa?

Mi naona Hakimi mapema tu alishamsoma mwenzake ni mwanamke wa aina gani
 
Hatari sana,wamekaa kimitego,Sasa watakua na Adabu
 
Wanaume wanachekelea saiv ila ndo furaha ya single mothers ilipo mtoto akikua anamuamini zaidi Mama yake kuliko Baba yake
Tunachekelea kuwanyoosha wanawake matapeli.
Tunawaamini waliotuzaa kuliko tuliozaa nao
 
Mbinafs na mchoyo Ni mke anaekimbilia kwny Mali wkt akijua Kuna watoto wanahitaji ada,matunzo malez na kuwatengenezea future[emoji4]
Angempa hata robo mgao,Sasa hapo ndio akaanze Arif au?
 
Yaan mie akili ishastuck
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…