☺️Alfa female speaking..! [emoji16][emoji16]
So nilete bei gani ili nikutwae mkuu...???Wanaosema kupokea mahali ndogo ni ushamba wabaki hivyohivyo,
Mahali ndogo huchukui Binti yangu kwanza ni kipimo Utaweza kumlisha huko unapompeleka?
Ni IPO hivyo hata kwetu wazee wangu na shangazi zangu hawataki mba mba mba kama huna Hela kajipange tu.
Samahani uliolewa kwa mahali kiasi gani?Mwambie aongeze mahari, watu wanapamba na umaskini wewe unaongeza maskini kwenye ukoo ulitaka wakuchekele?
Laki 1Samahani uliolewa kwa mahali kiasi gani?
Mwanaume anatakiwa kua msaada kwa nani? Na sio mzigo kwa nani?Kaoe kulingana na level zako,unaenda kuoa kwa watu wenye uwezo na wews huna unategemea nini?
Hata mimi sitokubali niletewe maskini na nimeona familia nyingi zinawakataa watu wa hivyo na kuwaponda..
Mwisho wa siku mwanaume anatakiwa kuwa msaada sio mzigo.
Mkuu dada atueleze je wazazi wake ni wana utajiri wa kiwango gani ?Nenda kamuoe mchumbaako hyo ataendelea kuwa baba yako habadiliki...halafu anataka mtu tajiri je tajiri anakutaka ww? Ukimsikiza babako maisha yako yatakua magumu sana
Aaah alishaleta tayari 🤣So nilete bei gani ili nikutwae mkuu...???
Kwaiyo mkuu inaonekana mzee anataka binti yake aondoke kwa bei ya Jeep na siyo kwa bei ya kabati [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inategemea, je kama mdingi kasomesha mtoto wake ist? Acheni utani bwana mtoto anaondokaje nyumbani kwa bei ya kabati[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli watakuja tu sasa hivi nchi imefunguliwa vijana wenye milioni kumi hawa kosekanaiMzee wetu wa ukoo(mchaga)...alifukuza vijana kama wa 4 waliokuja na vi mahari vyao vya uchwara...
Binti yake alimsomesha Russia akahitimu udaktari bingwa wa kichwa(ubongo)
Mzee wa ukoo alikua anataka mahari si chini ya mil 12 na zaidi.
Mmoja wapo akajifanya mwamba akampa ujauzito ili iwe nyepesi[emoji23]...mzee presha na sukari ikapanda
Baada ya kujifungua yule mtoto akaitwa jina la babu yake..kuanzia jina la mwanzo lakati na la mwisho yotee upande wetu...
Mwamba akaenda kufungua kesi...kesi (ikaendaa)..sijui ikwaje mzee akashinda[emoji2]
Sasahizi binti yupo(wanaishi) denmkark na alishaolewa na mwanaume mwengine ambae ni (mshozi) ila dogo yupo(kabaki) kwa babu yake""
("Mzee alikua anasema alitumia pesa nyingi sana kumsomesha uko nje so hataki mahari ya ajabu ajabu"
""DADA kama unajiona una iyo thaman ya mil 10 basi tulia...watakuja tuu wenye uwo uwezo""
Afrika binti hana haki wala uhuru.Ukizaliwa Africa haswa bongo basi ni tabu unakuwa mtumwa wa wazazi wako ...hapo binti ana sauti kabisa na ndoa hakuna Tamaa mbaya
Ata mie sikubali mtoto wangu aondoke kwa bei ya kabati.Kwaiyo mkuu inaonekana mzee anataka binti yake aondoke kwa bei ya Jeep na siyo kwa bei ya kabati [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Binti yake atakuwa bikirahuyo babaako aache akili za kivuta bangi, mwanaume utaishi nae wewe sasa yeye anatia kauzibe ya nini? mahari 10m kwamba anakuuza au? wazazi kama hao ndio hua wanafanya wanaume wanakua na hasira hadi wanaua wake zao kwa kosa dogo tuu... mwambie ameniudhi sana.
😂😂😂Kha jamaniMwambie aongeze mahari, watu wanapamba na umaskini wewe unaongeza maskini kwenye ukoo ulitaka wakuchekele?
Ukweni.Mwanaume anatakiwa kua msaada kwa nani? Na sio mzigo kwa nani?