Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie ndio mnasababisha watu tunachachia majumban badae mnaanza makelele. Hyo 10M ukute mzee mwenyewe hata robo yake hana alafu anamvimbia kijana wa watu.Inategemea, je kama mdingi kasomesha mtoto wake ist? Acheni utani bwana mtoto anaondokaje nyumbani kwa bei ya kabati🤣🤣🤣🤣
Yeah, atoke hapo nyumbani, mtu kusema eti wewe sio mtoto Wangu sijui usije kwenye Kaburi langu, ni mikwara mbuzi sana hio, kama Mandonga tu, Kaburi ni Nini?Mtoa mada unaonekana una msongo wa mawazo Hadi kushindwa kutoka nyumbani, punguza mawazo hizo Ni changamoto tu na mapito...
Member wengi watakupa mawazo mazuri Nini Cha kufanya.
Wewe jamaa weweMuhusika usijaribu kabisa huu ujinga. Tulizana kwa mzee ukule raha cha msingi mtu wakukuoelekea moto yupo basi hamna shida genye zikidizi unampelekea jamaa anakugegeda
Hahaha aisee yaani mtu akisoma hapa atafhani mtoa ushauri kashaolewa vile 🤣🤣🤣🤣Wazazi kama hawa ndio wanasababisha watoto wao wazekee nyumban imagin mzazi anasema mahari ndogo hakuna ndoa watakuja wengine hao wengine kashawatafuta? ujinga ujinga tu
Mwambie jamaa akutoroshe akupangie sehemu ubebe mimba yake na ugome kabisa kurudi kwenu ikwezekana ubadilishe na namba zako za simu.Habari zenu wana JF,
Bila kuwachosha naenda moja kwa moja kwenye point. Nilikuwa na mchumba wangu tumejuana kwa muda wa mwaka mmoja na nusu mpaka sasa. Kwa hiyo mwaka huu huyo kaka nilimwambia aje home kujitambulisha, akasema haina shida...
Kwani wewe umeoa?Hahaha aisee yaani mtu akisoma hapa atafhani mtoa ushauri kashaolewa vile 🤣🤣🤣🤣
Kumbe mweee...anahangaika tuu
Beba mimba kubaliana kwanza na mwenzako.Habari zenu wana JF,
Bila kuwachosha naenda moja kwa moja kwenye point. Nilikuwa na mchumba wangu tumejuana kwa muda wa mwaka mmoja na nusu mpaka sasa. Kwa hiyo mwaka huu huyo kaka nilimwambia aje home kujitambulisha, akasema haina shida...
Acha ufalaaa wewe unajua gharama tunazotumia sie wazazi kuwalea nyie watoto? Msilete zenu bwana mtoto wa kike hatakiwa toka kwa bei nafuu. Ebo kwanza wanaume wenyewe wataenda kumtesa tuu mtoto na mihangaiko ya michepuko.Nyie ndio mnasababisha watu tunachachia majumban badae mnaanza makelele. Hyo 10M ukute mzee mwenyewe hata robo yake hana alafu anamvimbia kijana wa watu.
Nini tena mzeyaWewe jamaa wewe
Ukizaliwa Africa haswa bongo basi ni tabu unakuwa mtumwa wa wazazi wako ...hapo binti ana sauti kabisa na ndoa hakuna Tamaa mbayaUmuhimu wa DINI YA KIISLAM unazidi kuonekana.
MAHALI NI HAKI YA ANAYEOLEWA NA HUTAMKWA AU HUTAJWA NA YULE ANAYEOLEWA NA SI WAZhapo binti hana sAZI WAKE.
How is that relevant🤣🤣🤣🤣Kwani wewe umeoa?
HakikaNyie ndio mnasababisha watu tunachachia majumban badae mnaanza makelele. Hyo 10M ukute mzee mwenyewe hata robo yake hana alafu anamvimbia kijana wa watu.
Wewe ni wale wale tu.Acha ufalaaa wewe unajua gharama tunazotumia sie wazazi kuwalea nyie watoto? Msilete zenu bwana mtoto wa kike hatakiwa toka kwa bei nafuu. Ebo kwanza wanaume wenyewe wataenda kumtesa tuu mtoto na mihangaiko ya michepuko.
Mzee kashasema kuwa watakuja wengine, itakuwa alishajua kuna njemba anakuja kutoa hizo hela so mrembo atulie tuu. Daddy knows whats best for her
akienda akianza kuliwa kiboga mtamsaidia maana vitu vzuri gharama na yeye ashamuelewa msela wakeAcha ufalaaa wewe unajua gharama tunazotumia sie wazazi kuwalea nyie watoto? Msilete zenu bwana mtoto wa kike hatakiwa toka kwa bei nafuu. Ebo kwanza wanaume wenyewe wataenda kumtesa tuu mtoto na mihangaiko ya michepuko.
Mzee kashasema kuwa watakuja wengine, itakuwa alishajua kuna njemba anakuja kutoa hizo hela so mrembo atulie tuu. Daddy knows whats best for her
Ushauri wako kama nguvu za GizaNini tena mzeya